macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,474
- 61,346
Nyie inaonekana ni hawa makahaba wa bar waliozoea matusi ndiyo maana mnamuunga mkono huyo barmaid mwenzenu. Idiots! Kwanini asitumie lugha ya kawaida kufikisha ujumbe na hisia zake na badala yake atoe matusi ya nguoni? Huoni hapo anayeumia ni huyo mtoto? Karne ya sasa unafurahia matusi kama hayo?[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nilitaka nilutag uone hii species.
Lakini naona wewe hupati tag.
Aliyeniacha hoi ni yule aliyekuwa anampa pole ya matusi.