Namtafuta baba yangu mzazi

Namtafuta baba yangu mzazi

Wewe unayemshauri pia una matatizo.
Huyu mwanaume hana nia ya kukomboa mtoto au kulea mtoto yeye kazi yake ni kumpanikisja na kumkejeli unafiki.

Akiwa anahitaji mtoto wake amjue alitakiwa atume wazee nyumbani kwao mwanamke wakaongee wayajenge.
Hilo lileta mada halina akili linastahili hiyo mitusi.

Kulea mtoto si kazi ndogo halafu baba ya mtoto anakazi tu kusema msalimie lulu.

Ukisoma matusi ya huyo mama lulu yamejaa uchungu mno maneno kama "wewe kula raha" je anajua anamleaje huyo mtoto au anapitia mangapi?
Umewaza kama mimi, hayuko serious anamtia tu hasira mwenzie ili apate cha kupost mitandaoni ili mwenzie aonekane mbaya. Eti "mke wangu" ilihali ana mke. Hizi sperm donors bure kabisa.
 
Mimi naapa..stakaa niache watoto Wangu mahali popote hii ni ahadi yangu watoto ndy utajili wangu na heshima yangu. Hapa sihitaji ushaur wa awaye yeyote. Najua wakiwa watoto mtanicheka na kunikebehi ila wakiwa wakubwa naamini mtaniheshimu. Hyo ni imani yangu!!
Wakati wote nikiwa mzima ntataka watoto Wangu wafahamieni,na kufurahi pamoja pia kama kuna nyakat za huzuni pia washee maumivu.
Msikubali wanaume kuua cha watoto nje Hamtakaa mjue nani atawazika mana maisha ni fumbo. Unaemchukie kumbe ndy nguzo yako ya kesho!!
 
Umewaza kama mimi, hayuko serious anamtia tu hasira mwenzie ili apate cha kupost mitandaoni ili mwenzie aonekane mbaya. Eti "mke wangu" ilihali ana mke. Hizi sperm donors bure kabisa.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nilitaka nilutag uone hii species.
Lakini naona wewe hupati tag.
Aliyeniacha hoi ni yule aliyekuwa anampa pole ya matusi.
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nilitaka nilutag uone hii species.
Lakini naona wewe hupati tag.
Aliyeniacha hoi ni yule aliyekuwa anampa pole ya matusi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tags hadi niingie kwa web kwenye app hakuna. Si ndivyo wanavyojazanaga ujinga, basi hapo anajiona shujaa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Unaweza ukamtafuta ukampata lakini ukaishia kujuta kwanini ulimtafuta!

Maana yangu ukijaliwa kumpata bila majuto shukuru Mungu na usipompata mshukuru sana Mungu!
 
Kwenda kijijini kwake pia ni njia nyingine. Huko kuna familia yake - wazazi, ndugu nk.
Alikua anafanya kazi miaka hiyo ya 90 mwanzoni na mm siishi dar kwa miaka 27 sasa na sijawahi fika nampatia wapi?
 
Sipati picha na nie nitakavyotafutwa baada ya miaka 20 ijayo na wanangu niliowaacha Mwanza (1), Morogoro (1) na Kigoma (1).

Mimi sina tatizo ila mama zao ndio wananinyima wanangu kisa eti nimewazalisha pasipo kuwaoa 😏
Una tatizo. Kwa nini wewe usiwatafute? Huoni uchungu wa damu yako?
 
Habari za leo wana jukwaa.

Ninaitwa Neema. Namtafuta baba yangu niliyepotezana nae miaka ya 90 kwa kifupi sijawahi kumuona. Mama aliniambia jina moja anaitwa Shafuri ni mpare wa wilaya ya Same kijiji ni Gonja-Maore.

Kipindi hicho walikua wanaishi Gongo la Mboto walikua majirani. Yeye baba alikua anaishi kwa kaka yake aliyeitwa Mr Mbwambo (alikua anafanya kazi tazara) na mkewe alijulikana kwa jina la mama Nasemba. Mama yeye alikua anaishi kwenye nyumba hiyo hiyo mabanda ya nje.

Walipotezana baada ya mama na familia yake kuhama sehemu hiyo na kuhamia sehemu nyingine na baade akahama mkoa. Hadi leo hawana mawasiliano na mimi nilipewa jina la baba mwingine.

Kwa yeyote atakaeweza kunisaidia awasiliane na mimi kupitia namba 0772719646.

Alikua anafanya biashara ndogondogo

Nahitaji kumfahamu
Kama unaweza nafikiri ungefanya vyema kwenda Gonja-Maore.
Ukiulizia koo yake na hiyo ya Mbwambo hakika utapata mwanga.
Ukifika nenda kwa Mwenyekiti wa mtaa mueleze shida yako.
Katika sehemu ambayo watu wanajuana sana kwa koo basi ni Gonja-Maore.
 
Jamani hakukataa mimba alikubali hadi mtt ila tu kuna mazingira yaliyopelekea hii kitu itokee. Simlaumu yeyote kti yao kwa mazingira niliyoelezewa ilibidi iwe hivo tu kwa namna yoyote ile.
Mungu akusaidie upate tulizo la moyo !
Wengi tumepitia changamoto hizi hauko peke yako.
 
Mm Msure alintelekeza na baadae alintafuta mwenyewe (of coz alishajua nimetoboa)! Nakampokea nikijua yake atamalizana na Mungu wake na after all na Mm Maza alishafariki!

Ya Mungu mengi... kumbe Mzee alintafuta akiwa ktk kipindi chake cha mwisho mwisho cha safari yake Duniani. Uhusiano wetu mpya na Mzee haukumaliza 5yrs akafariki!

Huko alikopoteleaga alipata watoto wa kike wawili.... Naenda nao sawa.
Kula gwala mzee baba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom