Namtafuta baba yangu mzazi

Namtafuta baba yangu mzazi

Nimejaribu kwa kila namna kujiweka karibu na kutaka kuendelea kuhudumia mtoto ila inashindikana.

Huyu mdada tuliishi wote kwa takrivani miaka miwili, tukashindwana tabia na tukaachana. Alitoka hapa kwangu kurudi kwao akiwa na mimba yangu ya miezi mitano.

Niliendelea kumhudumia mpaka alipojifungua mtoto wa Kike (Viva/Lulu), nikamhudumia pia yeye na mtoto kwa zaidi ya miezi 6, likaja kuzuka la kuzuka mwanamke akawa mwongo balaa yaani anadanganya kuwa mtoto anaumwa figo na ameshauriwa apelekwe Muhimbili wakati huo anasema wanatibiwa St Francis Ifakara mie nipo zangu Swanga.
Nikawa natuma tu hela za matibabu kumbe mtoto wala hata haumwi ila anatumia kigezo cha ugonjwa ili kunipiga pesa. Nikaja kugundua ukweli wote

Baada ya hapo nikachukua maamuzi ya kumwacha jumla na nikaoa na kufunga ndoa na mwanamke mwingine.
Duh mkuu pole sana kwa unayopitia huyo mwanamke anamatusi sana
 
Kuna kipindi RFA kinaitwa search line kinarushwa J4 na ester kurujia, jaribu kutafuta napo, unaweza kumpata kirahisi pia, kama unaweza pia kwenda vipindi vya redio live.

Ukiweka nia utampata tu kama hajafa, kumbe kuna watoto wanatafuta washua wao dah pongezi sana,
 
Duh mkuu pole sana kwa unayopitia huyo mwanamke anamatusi sana


Hayo mbona madogo Mkuu

Huwa ananitukana mpaka naona aibu kusoma meseji zake au huwa nasoma huku nimefumba macho, nimeziba mdomo na masikio 🙈🙊🙉.

Sijui ni mbinu gani nitumie kumuweka sawa na mie nitambulike kama Vaba wa mtoto na pia mtoto apate haze za msingi kutoka kwangu.
20200712_115608.jpg
20200712_115709.jpg
20200712_115730.jpg
 
Mkuu bas inatosha aibu nimeona mm dah pole kwa unayopitia lakn pambana damu yako uipate maana inaonesha una nia ya kumsaidia mwanao mama yake ndio kizibo anamnyima Dogo msaada
Hayo mbona madogo Mkuu

Huwa ananitukana mpaka naona aibu kusoma meseji zake au huwa nasoma huku nimefumba macho, nimeziba mdomo na masikio [emoji85][emoji87][emoji86].

Sijui ni mbinu gani nitumie kumuweka sawa na mie nitambulike kama Vaba wa mtoto na pia mtoto apate haze za msingi kutoka kwangu.
View attachment 1504423View attachment 1504424View attachment 1504425
 
Mkuu bas inatosha aibu nimeona mm dah pole kwa unayopitia lakn pambana damu yako uipate maana inaonesha una nia ya kumsaidia mwanao mama yake ndio kizibo anamnyima Dogo msaada


Si kila Baba humkataa mtoto wake ila kuna baadhi ya scenerio kwa namna moja au nyingine Mama ndio chanzo cha matatizo yote
 
Mkuu bas inatosha aibu nimeona mm dah pole kwa unayopitia lakn pambana damu yako uipate maana inaonesha una nia ya kumsaidia mwanao mama yake ndio kizibo anamnyima Dogo msaada
Wewe unayemshauri pia una matatizo.
Huyu mwanaume hana nia ya kukomboa mtoto au kulea mtoto yeye kazi yake ni kumpanikisja na kumkejeli unafiki.

Akiwa anahitaji mtoto wake amjue alitakiwa atume wazee nyumbani kwao mwanamke wakaongee wayajenge.
Hilo lileta mada halina akili linastahili hiyo mitusi.

Kulea mtoto si kazi ndogo halafu baba ya mtoto anakazi tu kusema msalimie lulu.

Ukisoma matusi ya huyo mama lulu yamejaa uchungu mno maneno kama "wewe kula raha" je anajua anamleaje huyo mtoto au anapitia mangapi?
 
Si kila Baba humakataa mtoto ila kuna scenerio zingine Mama ndiyo chanzo cha yote
Huna busara wala hujakua.
Ungekuwa una busara ungejua nini ufanye.
Huyo mama lulu ana uchungu mno wa kulea mtoto mwenyewe na wewe unachokifanya ni kumuenjoy wala humaanishi.

Na pia unaonesha unaona fahari kumtelekeza Lulu.
 
Ndo maana tunasema ukioa singo mama usijisahau tu, mtoto akikua ni lazima amtafute baba’ke.

Unaona hapo keshalaumu kupewa jina la baba wa kambo, ambaye kimsingi ndo mlezi wake.!
Yaani hapo ndiyo hasira kabisa. Yaani umelea, mmesomesha halafu eti siku moja anazunguka social networks na media nyinginezo anamtafuta bullshit ambaye hajamlea. Ukikutana na single maza ni lazima iwe wazi kuwa kama alitelekezwa basi kisheria uasili watoto kwanza ila kama baba yao yupo na anatunza kimtindomtindo ni kuamua moja tu "watoto waende kwa baba yao au kama hawataweza basi huyo baba ahusike mambo muhimu kama kusomesha na mengineyo". Hawa watoto wa kufikia ni mtihani kwa wengi wao. Wachache wanajitambua wako vizuri tu na huwa hawatafuti hao bullshit waliowatelekeza.
 
Hakunitelekeza wala hakunikimbia. Ni mazingira ya kimaisha yalilaazimu hivo na shid ya mawasiliano kwa kipindi hiko
Yaani asikutafute? Asirudi hata hapo mlipokuwa mnaishi aulizie? Asiende hata ITV atangaze? Tena wanapewa ofa ya kutangaza bure. Asiyekutafuta hakuthamini. Haya endelea kumtafuta ni haki yako kufahamu ila kwa hakika ni mtihani.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Daah pole mkuu.
Nje ya mada kidogo ...
Haya mambo ndiyo yanayomfanya LIKUD ashauri watu wasioe single-mothers.

Huenda huyo baba uliyetumia jina lake alikupenda kama mwanawe wa damu akajitolea kukupa jina na maisha kwa kukulea vizuri kama mwanawe, leo hii umeona hapana lazima baba wa damu apewe kilicho chake.

Kama baba alikataa mimba kosa lake, kama baba hakuambiwa basi kosa la mama yako.
mambo haya hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna busara wala hujakua.
Ungekuwa una busara ungejua nini ufanye.
Huyo mama lulu ana uchungu mno wa kulea mtoto mwenyewe na wewe unachokifanya ni kumuenjoy wala humaanishi.

Na pia unaonesha unaona fahari kumtelekeza Lulu.


Ahsante sana kwa mchango wa mawazo yako, ila ungejua yaliyonikuta usingenihukumu kwa kiasi hiki.

20200712_132501.jpg
20200712_132445.jpg
 
Daah pole mkuu.
Nje ya mada kidogo ...
Haya mambo ndiyo yanayomfanya LIKUD ashauri watu wasioe single-mothers.

Huenda huyo baba uliyetumia jina lake alikupenda kama mwanawe wa damu akajitolea kukupa jina na maisha kwa kukulea vizuri kama mwanawe, leo hii umeona hapana lazima baba wa damu apewe kilicho chake.

Kama baba alikataa mimba kosa lake, kama baba hakuambiwa basi kosa la mama yako.

Samahani but nahisi unakosea, kulelewa na baba mwingine na akakupa mapenzi yote doesnt mean hana right ya kumtafuta mzazi wake kama ameamua. Maybe anataka kumuona na kujua mambo ya kifamilia na siblings wengine kama wapi. Baba mlezi ana nafasi yake na baba mzazi ana nafasi yake. Siku akimkosea heshima baba mlezi then thats a whole different story coz hatakua amefanya vizuri hata kidogo but for now i think apewe moyo kwa uamuzi wake besides hatujui why hakuwahi kukutana nae what if baba hata hajui anaexist?
 
Sipati picha na nie nitakavyotafutwa baada ya miaka 20 ijayo na wanangu niliowaacha Mwanza (1), Morogoro (1) na Kigoma (1).

Mimi sina tatizo ila mama zao ndio wananinyima wanangu kisa eti nimewazalisha pasipo kuwaoa [emoji57]
Mkuu kwa jinsi unavyotawanya mbegu kihasara hasara, epuka sana sana kujivinjari na wahudumu wa baa, usije kukuta mmoja wao yupo katika ajira hii na wewe ukaangukia kwa bintiyo wa kumzaa mwenyewe na kisha ukamzalisha mtoto ambaye pia atakuwa ni mjukuu wako. Itakuwa ni aibu kubwa sana kwako.
 
Umeandika utopolo gani na wewe?embu msome vizuri mleta mada hakuna sehemu amesema babaake alimkataa.
Hivi unajielewa kweli? Soma nilichoandika kama hukielewi kiache yawezekana kimekuzidi umri.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Nimejaribu kwa kila namna kujiweka karibu na kutaka kuendelea kuhudumia mtoto ila inashindikana.

Huyu mdada tuliishi wote kwa takrivani miaka miwili, tukashindwana tabia na tukaachana. Alitoka hapa kwangu kurudi kwao akiwa na mimba yangu ya miezi mitano.

Niliendelea kumhudumia mpaka alipojifungua mtoto wa Kike (Viva/Lulu), nikamhudumia pia yeye na mtoto kwa zaidi ya miezi 6, likaja kuzuka la kuzuka mwanamke akawa mwongo balaa yaani anadanganya kuwa mtoto anaumwa figo na ameshauriwa apelekwe Muhimbili wakati huo anasema wanatibiwa St Francis Ifakara mie nipo zangu Swanga.
Nikawa natuma tu hela za matibabu kumbe mtoto wala hata haumwi ila anatumia kigezo cha ugonjwa ili kunipiga pesa. Nikaja kugundua ukweli wote

Baada ya hapo nikachukua maamuzi ya kumwacha jumla na nikaoa na kufunga ndoa na mwanamke mwingine.

Duh mama Lulu kiboko sio kwa mitusi hiyo
 
Hayo mbona madogo Mkuu

Huwa ananitukana mpaka naona aibu kusoma meseji zake au huwa nasoma huku nimefumba macho, nimeziba mdomo na masikio [emoji85][emoji87][emoji86].

Sijui ni mbinu gani nitumie kumuweka sawa na mie nitambulike kama Vaba wa mtoto na pia mtoto apate haze za msingi kutoka kwangu.
View attachment 1504423View attachment 1504424View attachment 1504425

Mama Lulu khaaa [emoji1438]‍♀️[emoji1438]‍♀️[emoji1438]‍♀️[emoji1438]‍♀️
 
Wewe unayemshauri pia una matatizo.
Huyu mwanaume hana nia ya kukomboa mtoto au kulea mtoto yeye kazi yake ni kumpanikisja na kumkejeli unafiki.

Akiwa anahitaji mtoto wake amjue alitakiwa atume wazee nyumbani kwao mwanamke wakaongee wayajenge.
Hilo lileta mada halina akili linastahili hiyo mitusi.

Kulea mtoto si kazi ndogo halafu baba ya mtoto anakazi tu kusema msalimie lulu.

Ukisoma matusi ya huyo mama lulu yamejaa uchungu mno maneno kama "wewe kula raha" je anajua anamleaje huyo mtoto au anapitia mangapi?

I agree... atume wazee waende coz hapo hawawezi kusuluhisha wao kwa wao
 
Acha kuwa kichwa ngumu unaanzia Tazara ofisini taarifa za wastaafu na makwao zipo na walipojenga, na unadhani hata Kama alistaafu hamna watumishi aliowaacha ambao hawajastaafu?unamaelezo mazuri hadi ya mkewe na kijijini Gonja uneshindwa kwenda hata upareni, hata huyo Mbwambo ukifika upareni watakupa mawasiliano yake, Acha kupenda ubwete kila kitu unacho
Akifika upareni hilo jina mbwambo linatumiwa na watu wengi, ila hiyo approach ya kuanzia tazara na kwenye usharika wake itatoa mwanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom