Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

Nakushauri ach kumtafuta, endelea na maisha yako, nina ndugu yngu baba yake alimtelekeza kalelewa na mama na bini yake, akikaa kwa bibi maana ndiye alimpemda sana sana, sasa baada ya bibi yake kufariki, wajomba wakamforce mama yake amtafute huyo mzee alipo

Alimpata, akiishi kisela na watoto watatu maana mke wake alikuwa amefariki, yule mzee akaona fursa ili alee mtoto mama mtu amrudie la sivyo kila mtuu aendelee na maisha yake, mtoto ikabidi abaki ujombani, kasomeshwa hadi nje ya nchi na sasa hivi ana maisha

Last year Dec akaamua kutafuta huyo mzee, through connections akafahamu alishafiriki since 2009, na kabla ya kufariki aliwaacha wale watoto wadogo wajilee alenda kuoa sehemu nyingine…akakutana na ndugu yake mmoja, siku ya kwanza tuu kumuona ni vizinga, huku akilaumu shangazi zake wamemuua mdogo wake baada ya mzee wao kufa kishirikina

Akakutana na hao ndugu wengine wajomba na mashangazi, daah ni umasikini na ushirikina tupu, dhiki tupu.

Ilibidi awekwe kikao aambiwe achana na hiyo familia, Mungu alikuwa na mipango yake na wewe…

hivyo nakushauri pia…hii ilikuwa ni mpango toka upo tumbo la mama yako, acha endelea ma maisha yako, la sivyo utavunja code na utapata unachokitafuta. Muombee kama yuko hai, a/wangekutafuta kama walikuwa wanakuhitaji
 
Naifaham hiyo shule lakini hii taarifa nimeopost sehemu nyingi wengekua wahusika wabgenitafuta maana dunia kiganjan otherwise waogope kwa kuhis nataka kitu kutoka kwao kiukweli huyo kalilo nikimpata kama atakua hai dakika 10 za kukaa nae na kumuuliza baadhi ya maswali kadhaa zitatosha kabisa.

Nahis ni jina FAKE maana kwa jinsi nilivyomtafuta angekua kapatikana kuna muda nahis labda hayupo dunian
Mi nimekupa taarifa ninayoifahamu fanya unavyoona inafaa.
 
Ahsante kwa ushauri dear ni kweli likuepukalo lina kheri na wewe mimi nilitaka tu kumfahamu na sio kwamba nataka ukaribu nae au familia yake hapana
 
Vipi ukawapata na wao wakihitaji huo ukaribu??Kila kheri timiza malengo yako ila kuwa makini, ila kwa mimi nnaon kama unajitafutia matatizo na shughuli za ziada
 
Naifaham hiyo shule lakini hii taarifa nimeopost sehemu nyingi wengekua wahusika wabgenitafuta maana dunia kiganjan otherwise waogope kwa kuhis nataka kitu kutoka kwao kiukweli huyo kalilo nikimpata kama atakua hai dakika 10 za kukaa nae na kumuuliza baadhi ya maswali kadhaa zitatosha kabisa.

Nahis ni jina FAKE maana kwa jinsi nilivyomtafuta angekua kapatikana kuna muda nahis labda hayupo dunian
Kina mama Huwa wanakosea sana,wakimchukia baba mtoto wanna siriba kila kitu matokeo yake mtoto akikua na kupata changamoto anakosa msaada ,Kuna misaada mingine haipatikani kanisani Wala msikitini bali ukoo aliotoka mtu!!

Kila ukoo una password yake kwenye ulimwengu wa kiroho usipozipata utateseka sana ku deal na baadhi ya mambo!!
 
Back
Top Bottom