Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

Namtafuta baba yangu Gervas Kalilo

Maisha hayapo hivyo mzee mwenyewe nimekua nikiwa naliona tuta la baba nje kwetu ukimuona mtu anamtafuta baba yake muheshimu sana wengine tunatamani hii fursa ila tunajikuta wazee 6 foot chini since tupo miezi nane.

Mleta mada hongera kwa kujitambua na kutamani kuijua asili yako Mungu atakusaidia umpate mzee ktk hali yoyote uendelee kumheshimu na kumthamini.
Yaani nashindwa kuacha kuwashangaa wanaomkatisha tamaa wakati kaweka wazi kusudio lake ya kwamba ANAHITAJI KUFAHAMU ASILI YAKE,HISTORIA YA MAISHA YA BABA YAKE wala haitaji urithi.

Hueanda ni kwa7bu ya kuariri wakati binadamu tuna tofautiana mitazamo na vipaumbele.
 
Hakika tunatofautiana, na kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu mambo mbalimbali. Lakini kuna jambo ambalo nimepata fununu kutoka kwa mtu aliyekuwa rafiki wa baba yangu.

Kwa mujibu wa maelezo yake, baba yangu hakuwa Mtanzania. Baada ya mama yangu kufariki, bibi alimfuata huyo rafiki wa baba yangu na kumuuliza kuhusu baba yangu. Alimweleza kuwa baba yangu alikuwa amefariki mwaka huo, yaani 1999. Hata hivyo, jambo hili linanifanya niwe na maswali zaidi kwa sababu mimi nilikuwa najua kuwa mama yangu alifariki mwaka 1999, lakini kumbe alifariki mwaka 1998.

Bibi alipomuuliza huyo rafiki wa baba yangu alikuwa mwenyeji wa wapi, alimjibu kuwa marehemu alikuwa mtu wa Runzewe. Alieleza pia kwamba baba yangu na huyo rafiki yake walikutana kwa Mhindi mmoja, ambako wote walikuwa vijana wa dukani, huku mama yangu akiwa mfanyakazi wa ndani katika nyumba hiyo.

Pia, kwa maelezo yake, huyo Mhindi alikuwa na wake wawili. Hakueleza mambo mengi zaidi ya hayo. Baadaye, huyo rafiki wa baba yangu alirudi kwao Burundi. Hivyo, inaonekana naye hakuwa Mtanzania, bali alikuwa raia wa Burundi.
 
Yawezekana kwani hilo jina KALILO hutumiwa na jamii hiyo ya Burundi,WAHA na hata WAJITA kina KALILO ni wengi.
Sasa ukiangalio mkondo huo utagundua kuwa ni mkondo mmoja hivyo upo uwezekano mkubwa huyo mtu akawa wa BURUNDI. Zingatia vurugu zilizotokea hiyo miaka huko RWANDA na BURUNDI kwa hiyo huenda mwaka 1994 walikimbilia Tanzania na kupata hicho kibarua.
 
Inawezekana
 
Back
Top Bottom