The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,935
- 117,238
Jaribu pia kumtafuta Baba yako kwa kupitia mitandao mingine pia,
Wakuu,Bibi zetu tuwaheshimu sana na kuwajali,kuna story nyingi sana za watoto kulelewa na Bibi zao,hata Lamine Yamal alilelewa na Bibi yake kwa muda mrefu tu.