Basi Mwali ntamchapa viboko 3, charminglady usirudie tena umesikia eeh?Uncle Kaizer, mbona siku mi nilitumia hii lugha ulinichapa,
leo charminglady anatumia unamwangalia? double standards?
Nakutamanisha nini? Fyatanga pako wazi japo mie sio mhudumu, nenda kamalize hamu!
Basi Mwali ntamchapa viboko 3, charminglady usirudie tena umesikia eeh?
kwani wengine ni wake wa nani mkuu Bishanga.
ehhh pole we!!! yuko mkoa wa singida kijiji cha mgongo kata ya shelui wilaya ya iramba kaolewa na mfanyabiashara maarufu wa mafuta ya alizeti mke wa tatu Anapika na kupakuwa marojorojo c unajua huu mwenzi una neema zake.ntakupeleka hadi getini kwao yaaan pazuri weweeeee!
Hatukatai, sasa ndo aondoke kimya kimya? hajui watu kama Bishanga walikuwa na malengo nae mazuri tu!
Heee we nduu/mamaya, nani tena kamshughujikia, is it true
Weye jichekeleshe tu na kakangu kaizer hapo, Nakudeku tu. na wifi ashadii akirudi safari nakusemelezea ujue.
Kumbe umeshaelewa uzuuuuri kbs!
Nimezee na nikivimbiwa je? Akhuuu! Unikome!Wewe nae, huna dogo!?,mengine unamezea tu!
Kusutwa sunnah babu weye! Ole wako wewe ,wanaume sasa hawasutwagi ujue!Oo! angalia usije sutwa wakakuita mbea bure,