Namtafuta Asha Dii.....!!!!!

Wanajamvi yu wapi mdau huyu, nimemtafuta sana simuoni,nimezunguka mitaa yote oysterbay,mikocheni,buguruni kwa mnyamani, kwa mtogole, masaki,mji kasoro bahari, singida,Arusha e.t.c, nitafutieni mutu hii, ZAWADI NONO ITATOLEWA

ana mimba yenye kichefuchefu na jf..
 
Kweli kapotea sana,si kawaida yake,maybe ana majukumu mengine.Kama ni majamzito basi namtakia kila la kheri.Ila hapo kumpa kichefu chefu na jf?mhn!
 
nackia ciku izi ni meneja apa manyara bar...apa jamatini apa iringa...!yuko bize cana cista
 
Mara ya mwisho alipita Arusha akielekea Sehemu inaitwa Ngaramtoni Ya Chini akiwa likizo. Alitujulisha kuwa huko ni kwa Shangazi yake. Taarifa ya ujauzito ni ya ukweli kabisa, maana alikataa kila tulichomwandalia, akaagiza mbilimbi toka kwa wamama wa kiarusha!
 
mbooon nzaaavooooo keeeeeeeiiiii????...

uliiiimsiiiiiimaaaa???
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom