namtafuta Arabela

namtafuta Arabela

Filipo hujambo? Umepotea sana hata kuni miss call.....Nisalimie sana marejesho mwambie nimeMISS

Usijali bibie, "nitakudip" leo! Embu mwambie Arabela Ramadhani hii tumepishana kidogo. Mie nilifunga Shaaban na nitafungua Shawal mosi! Ila tuko pamoja!

Aisee kijana Filipo popote ulipo nakutafuta....tukamatane jioni kwa ajili ya mipango ya muda mrefu. wamwache Arabela jamani

Recieved and forwarded for further action!
 
Last edited by a moderator:
Usijali bibie, "nitakudip" leo! Embu mwambie Arabela Ramadhani hii tumepishana kidogo. Mie nilifunga Shaaban na nitafungua Shawal mosi! Ila tuko pamoja!



Recieved and forwarded for further action!

Waiting.. Arabela kuna ujumbe wako toka kwa Filipo...

Taratibu wa baba she is MRS nitonye
 
Last edited by a moderator:
Slave naona kimya kimetawala sana juu ya ule mpango wa Mimi na dada yako Arabela
upande mmoja kama nataka kukuamini kuwa uta kuwa mwema kwa dada yangu.,
lakini bado nipo na jamaa zangu Baba V manoah Mr Rocky na Erickb52 tunajaribu kulinganisha tabia na mila haza za huko kwenu dubai.

NIPE MAJIBU YA MASWALI YANAYO NITATIZA KWANZA

1..umewahi kuoa ?
2.. umewahi kuzaa nje ya ndoa
3.. huna tabia ya kukwangua vocha za kabang?
4..je?dada yangu Arabela nikikupa unaahidi nini familia yetu?
 
Last edited by a moderator:
Usijali bibie, "nitakudip" leo! Embu mwambie Arabela Ramadhani hii tumepishana kidogo. Mie nilifunga Shaaban na nitafungua Shawal mosi! Ila tuko pamoja!



Recieved and forwarded for further action!

kumbe! Mbn uliwahi hivyo? Mipango yetu vipi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom