dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
- Thread starter
- #21
upande mmoja kama nataka kukuamini kuwa uta kuwa mwema kwa dada yangu.,
lakini bado nipo na jamaa zangu Baba V manoah Mr Rocky na Erickb52 tunajaribu kulinganisha tabia na mila haza za huko kwenu dubai.
NIPE MAJIBU YA MASWALI YANAYO NITATIZA KWANZA
1..umewahi kuoa ?
2.. umewahi kuzaa nje ya ndoa
3.. huna tabia ya kukwangua vocha za kabang?
4..je?dada yangu Arabela nikikupa unaahidi nini familia yetu?
Sijaoa
Sina mtoto
Tigo situmii
Nitaiependa familia ya ukweni kuanzia wewe shemeg SLAVE na wengine wote
Last edited by a moderator: