Namtafuta Afrodenzi

Namtafuta Afrodenzi

Asante sana mkuu, yaani umenipanua sana jiografia yangu. Have never thought of such an island in this world. Japo nimekata tamaa kwamba siwezi tena kumpata lakini angalau nimefarijika kwamba nimefahamu kitu kipya. Asante sana, maana post yangu haijaenda bure.
 
Last edited by a moderator:
Ubishi wako umezidi... Inaelekea kwenu hadi Wageni ulikuwa unawabishia.....

na phd ya hiyo kitu nshawai bishana na soko nilipowashinda nikaanza kuwaambia aje mmoja mmoja,,

proof kama una passport kibari cha kuishi tz nk
 
na phd ya hiyo kitu nshawai bishana na soko nilipowashinda nikaanza kuwaambia aje mmoja mmoja,,

proof kama una passport kibari cha kuishi tz nk
Unauliza vibali vya kuishi vya Tanzania wakati vinauzwa kama karanga pesa yako tu... ila Mimi Nimezaliwa hapa Tz Babu zangu ndio walikuja Tanganyika na Bwana William yule wa Machimbo ya Mwadui... ndio wakabaki hapa na nikabakia....hadi leo so mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa kasoro asili tu. na nimegundua Wengi hapa nchi hii hamna Asili na nchi hii..... Kuanzia Raisi wa kwanza hadi wa Mwisho.... na atakayekuja vile vile
 
Aah aah aah atakayekuja atakua mkenya au mchina?
 
Aah aah aah atakayekuja atakua mkenya au mchina?

Kama Lowassa basi kwa kuwa yupo jirani na Kenya kuna dalili akawa ni Mkenya mimi nijuavyo Lowassa si Mmasai ila mamake ndiye babake ni Mmeru niliwasikia Wanajeshi wakisema kwenye msiba wa mwanajeshi fulani... Nare ndu Lowassa wewe ni Mmeru wa Kenya au Tz?
 
Mwenzenu nimemmiss kipenzi changu,
Kipenzi changu cha moyo afrodenzi,
nimemtafuta kwa njia zote lakini nimemkosa,
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi.

Nimemtafuta kwa pm na kwa private email,
Katika njia hizo zote sikupata majibu,
Ninamhitaji akiwa hai au amekufa,
Wapendwa nisaidieni, namtafuta Afrodenzi

Iwapo yupo hai niambieni aliko nimfuate
Iwapo amekufa, nionyesheni kaburi lake nikamlilie
Natamani japo nijue kilichomsibu mpendwa wangu
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi

Hivi huyu afrodenzi yu hai au!! Mkuu Lukolo vipi ushafanya mawasiliano naye au kala Life Ban pengine
 
Last edited by a moderator:
je umejitahidi kwenda lile JUKWAA LA BAN ? labda yuko kule
anasafisha vyombo vya chakula cha jana
Mwenzenu nimemmiss kipenzi changu,
Kipenzi changu cha moyo afrodenzi,
nimemtafuta kwa njia zote lakini nimemkosa,
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi.

Nimemtafuta kwa pm na kwa private email,
Katika njia hizo zote sikupata majibu,
Ninamhitaji akiwa hai au amekufa,
Wapendwa nisaidieni, namtafuta Afrodenzi

Iwapo yupo hai niambieni aliko nimfuate
Iwapo amekufa, nionyesheni kaburi lake nikamlilie
Natamani japo nijue kilichomsibu mpendwa wangu
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom