Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,212
Mwenzenu nimemmiss kipenzi changu,
Kipenzi changu cha moyo afrodenzi,
nimemtafuta kwa njia zote lakini nimemkosa,
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi.
Nimemtafuta kwa pm na kwa private email,
Katika njia hizo zote sikupata majibu,
Ninamhitaji akiwa hai au amekufa,
Wapendwa nisaidieni, namtafuta Afrodenzi
Iwapo yupo hai niambieni aliko nimfuate
Iwapo amekufa, nionyesheni kaburi lake nikamlilie
Natamani japo nijue kilichomsibu mpendwa wangu
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi