Umslpogaaz
Member
- Apr 14, 2008
- 94
- 56
Suala la msingi hapa ni 'maendeleo' hayo ni ya nani? Kama ni maendeleo ya kuwanufaisha wachache, watawala na vikaragosi vyao, basi hayo si maendeleo. Maendeleo halisi ni yale ambayo yanamnufaisha kila mwananchi.