Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
- Thread starter
- #61
Nimekubaliana kwa kiasi kikubwa na hoja zako hapa....ila nikuulize??? Huu mfumo ni nani kauweka hivi?? Mimi?? Wewe?? au CCM na Kikwete ambao nimeona hapo juu unawasifia??
Kwa nini umlaumu mtanzania kwa mfumo uliopo....huku unawasifia viongozi walio na mamlaka ya kuubadilisha ili uendane na mahitaji??
Najua utamtetea Kikwete....ila naomba nimuweke na wewe usibishe kwa kuwa kwa miaka 7 aliyo kaa, + 3 aliyobakiza..(10) alikuwa anayo nafasi ya kuubadilisha...ila hamna dalili nae ni wale wale
Kwa kweli umenifurahisha sana hapo nilipo BLUE.
Mfumo huo mumeweka wenyewe wa Tanzania kwa umoja wenu. Lakin wakati mfumo huo unawekwa Tz kulikuwa hakuna wasomi kama sasa. Kwani wakti ule anaemaliza Secondary anapata kazi, na kila anayemaliza University anapangiwa kazi moja kwa moja na Serikali.
Siku hizi Serikali yenu haina tena uwezo ya kuwaajiri wanafunzi wote wanaomaliza vyyuo vikuu. Hivyyo inabidi wajiajiri. Kwa mantiki hiyo naweza nikasema mfumo huo wa kuwasomesha wanafunzi kwa kuwaandaa kuajiriwa umepitwa na wakti. Mfumo wa sasa ni kama ule unaotumiwa Kenya au Uganda kuwa mwanafunzi nafundishwa KUJIAJIRI na anasomeshwa somo la uchumi na ujasiriamali tokea primaryy school.
Wenye mamlaka ya kubadili mfumo huo ni waTz wenyewe wala msisubiri wageni wawabadilishie.