namshukuru Mungu kwa siku njema

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
Asante Mungu kwa cku njema hii uliyoifanya ambayo ni ck ambayo nilizaliwa na leo nimetimiza miaka kadhaa uhimidiwe mwenyenzi Mungu wa Mbinguni kwa familia yangu na marafiki zangu uwalinde na kuwaongoza
Naomba anayejua kuimba aimbe na mimi..
Mungu amenihurumia tendo hili kubwa sana, sikustahili jambo hili nimelipata bure tu
Sasa najua
haya yote nasifu huruma yake,nasifu huruma yake
Happy birthday to me
 
Naupenda sana huu wimbo. Nitaimba na wewe siku nzima ya leo.
Heri ya siku ya kuzaliwa. Neema, rehema na fadhili za Mungu zisikupungukie.
 
asnte Mungu kwa cku njema hii uliyoifanya ambayo ni ck ambayo nilizaliwa na leo nimetimiza miaka kadhaa uhimidiwe mwenyenzi Mungu wa Mbinguni kwa familia yangu na marafiki zangu uwalinde na kuwaongoza
Naomba anayejua kuimba aimbe na mimi..
Mungu amenihurumia tendo hili kubwa sana, sikustahili jambo hili nimelipata bure tu
Sasa najua
haya yote nasifu huruma yake,nasifu huruma yake
Happy birthday to me

HBD 2 U, HBD 2 U, HBD dear Eversmilin Gal, HBD 2 U.:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you, jaribu kurekebisha kidogo ka heading ka include birthday!
 
Ngoja mimi nikuwish kwa kichina;

zhun ni shengri kuai le!
 
asnte Mungu kwa cku njema hii uliyoifanya ambayo ni ck ambayo nilizaliwa na leo nimetimiza miaka kadhaa uhimidiwe mwenyenzi Mungu wa Mbinguni kwa familia yangu na marafiki zangu uwalinde na kuwaongoza
Naomba anayejua kuimba aimbe na mimi..
Mungu amenihurumia tendo hili kubwa sana, sikustahili jambo hili nimelipata bure tu
Sasa najua
haya yote nasifu huruma yake,nasifu huruma yake
Happy birthday to me

Happy birthday Eversmilin Gal.....Mungu akujalie miaka mingi zaidi.
Have a nice day.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday...... Wakati unasherekea siku ya kuzaliwa kwako,kama utamuona charminglady mwambie nampenda sana
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to u,
U live in a zoo,
U luk lyk a monkey,
U smell lyk one too.

How old r u now?
We bought a new cow,
It keeps mooing moo,
Lyk u r doing now.

God bless u my lovely daughter...I love u sooo much. uploadfromtaptalk1347362510535.jpg
 
Happy bday Eversmilin Gal, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu.

Nami leo namwish my mom huko alipo R.I.P, happy bday mama, 2likupenda lkn Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi, lkn bday yako bado ipo kwenye kumbukumbu zetu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom