namshukuru Mungu kwa siku njema

namshukuru Mungu kwa siku njema

Happy bday Eversmilin Gal, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu.

Nami leo namwish my mom huko alipo R.I.P, happy bday mama, 2likupenda lkn Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi, lkn bday yako bado ipo kwenye kumbukumbu zetu.

Jamani R.I.P bi mkubwa and thanks kijino ubarikiwe mpenzi
 
Last edited by a moderator:
Jamani mpenzi nisamehe nimepitiwa wewe tena shem wa ukwee mzima mbona haujaja kwenye party nilivyokusubiri luv u sana

ma dia umenitonesa kidonda shem wako kapigwa Ban basi raha hana. Tusamehe sana ma sis lv u tøo jaman
 
Happy belated Birthday!! Hope you had a great day japokua ilikua on a week day
 
Back
Top Bottom