namshukuru Mungu kwa siku njema

namshukuru Mungu kwa siku njema

Alipost picha ya Marehemu D. Mwangosi akiwa amelipuliwa na bomu humu jamvini wakati inasemekana zilishakatazwa ili kulinda usitiri wa maiti.

mh kumbe kafanya hivyo? Kaipost jukwaa gani my dia? Post ina heading gani
 
mh kumbe kafanya hivyo? Kaipost jukwaa gani my dia? Post ina heading gani

Nenda kule jukwaa la malalamiko.
Kuna mtu katuma post ya Kuwalalamikia ma-Mod kuwa Zubedayo amepewa Ban la Uonevu.
 
Asante Mungu kwa cku njema hii uliyoifanya ambayo ni ck ambayo nilizaliwa na leo nimetimiza miaka kadhaa uhimidiwe mwenyenzi Mungu wa Mbinguni kwa familia yangu na marafiki zangu uwalinde na kuwaongoza
Naomba anayejua kuimba aimbe na mimi..
Mungu amenihurumia tendo hili kubwa sana, sikustahili jambo hili nimelipata bure tu
Sasa najua
haya yote nasifu huruma yake,nasifu huruma yake
Happy birthday to me

Hongera kwa Maisha marefu.
 
Back
Top Bottom