Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

nasikitika wachangiaji wengi ni wapumbavu wenye silka za kibavicha.
ila BEN ni kijana MWENYE MATATIZO MAKUBWA YA KUTOAMINIKA.
amini nawaambia. hata FREEMAN MBOWE anaishi na huyu dogo kimagumashi
 
shonza kama wema. yuko lonely sana huko aliko. yani hata mwampamba anapwaya
 
Juliana walikunyima hata ukuu Wa wilaya pamoja na ile kazi ya kuzomea mjengon jipange mama umeshindwa kutumia jinsia yako vizuri ndio wanaondoka hivyo nenda katumie taluma yako ya sociology au ulishahau
 
nasikitika wachangiaji wengi ni wapumbavu wenye silka za kibavicha.
ila BEN ni kijana MWENYE MATATIZO MAKUBWA YA KUTOAMINIKA.
amini nawaambia. hata FREEMAN MBOWE anaishi na huyu dogo kimagumashi

Alikusaliti wapi hadi useme haaminiki? Umbea..
 
We endelea kuhangaika tu.Mwenzio Wema Sepetu karibia anaingia mjengoni.
 
Umemshauri vizuri maana kuna wanaozani ukikosa uongozi wa siasa hauendi mbinguni
 

Juliana faragha umalizwa kwa faragha . Sugu vs Mlata!
 


Sera ya chadema iliandikwa na Kitila Mkumbo so what? Kwataarifa yako wananchi wako aware zaidi na ule waraka wao ( M1,M2,&M3) kuliko hiyo sera unayozungumzia.
Huwezi futia wanachama ACT kwa kuichafua Chadema.
 

"Politics is not a game it is action, it is beyond relationship, and it is reality"

Kwa mwanaharakati ambaye yuko kwenye siasa lazima atambue hilo.hauwezi kuwa rafiki the same time unataka kuwa mwanaharakati ndani ya siasa.lazima uwe tofauti kiutendaji na uwe na dhamira na msimamo mmoja.

Am talking about real politics
 
Juliana boss wangu mtu ambaye hatak mawasiliano na ww mpotezee bhana wa nn?
 
mbona ushauri wa shonza ni mzuri zaidi kwa afya ya mwana siasa ?
ila ukiweka ukada wako mbele utaona ushauri mbovu ben ni ngumu sana kupita kwenye siasa za cdm alishatumikishwa na wanasiasa kugombanisha watu kwa sasa kawa mfuko wa plastic uliotumika hua unatupwa tu au kungalia kama unafaa pole ben
 

Yaani umeandika kwa hasira mno
 
Iko siku Ben ataitwa msaliti na msakatonge humu, wala sio mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…