Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

Mi binafsi niliangalia kile kipindi japo nilikikutia katikati , ila yule kamanda hamna kitu ndy wale wale tu, hata kujibu hoja zilizo muusu alikuwa anapata kigugumizi, kwani kuna mtoa hoja mmoja aliuliza vidhibiti vingi vya unga wanavyokamatwa navyo watuhumiwa wa unga vinapotea mikononi wa polisi na mwisho wa siku unaambiwa mtuhumiwa yuko huru kwa kukosekana kwa kidhibiti. kamanda alishindwa kutoa jibu la maana zaidi ya kuzungusha. madawa ya kulevya polisi wanahusika, watala na wanasisa, mbaya zaidi kuna mtoa mada moja alikuwa meza kuu anasema ukimjua muuza unga kaliripoti polisi, au kwa m/kiti serikali za mitaa au mjumbe , wakati akijua ukifanya usalama wako uko shakani kwani hao hao polisi watampelekea taarifa muhusika(mtuhumiwa). I Don trust, I hate fu..n Tanzanian polisi, Thy like chiwawa dogs.
 
Aweda anajitahidi sana kushiriki vipindi hivi na malengo ya aweda kushiriki yako wazi kwamba ni kujitangaza ili 2015 akagombee ubunge kwao mburu,wanasiasa bana.

Kwani inakatazwa?Si ni bora yeye kuliko wale ambao hawaisaidii jamii na badala yake wanaishia kuibuka na kuhadaa wananchi?
 
Kampeni za ubunge hizo 2015


Kwangu mimi kampeni ya 2015 siyo tatizo, tatizo langu ni uhai wake kabla ya 2015 utakuwa salama kwa mwendo huu. Ubunge si haki yake ya kikatiba.

Ndo maana nikashauri apunguze kasi. Wanaweza wakamLWAKATARE AU kumbambikia kesi tesha kama akina Kileo na wenzake.
 
Aweda anajitahidi sana kushiriki vipindi hivi na malengo ya aweda kushiriki yako wazi kwamba ni kujitangaza ili 2015 akagombee ubunge kwao mburu,wanasiasa bana.

Nawe tafuta jukwaa lingine jitangaze ili mwaka 2014 ukagombee uenyekiti wa kijiji chenu.
 
Aweda anajitahidi sana kushiriki vipindi hivi na malengo ya aweda kushiriki yako wazi kwamba ni kujitangaza ili 2015 akagombee ubunge kwao mburu,wanasiasa bana.

Mbona na wee unashirikia sana kile kipindi cha Radio UHURU lengo lako ni nini mkuu?
 
Madawa ya kulevya yanaangamiza watoto wetu.
Hata mimi niliangalia, je, mada ya jana madawa ya kulevya kuendelea kuangamiza vijana wetu, nini kifanyike? AWEDA alimwuliza Nzowa kuwa wewe unatuhumiwa kubambika kesi ya mtoto wa Mengi je, jibu hoja. Yule dada alitaka kumsaidia tu Nzowa. Ukweli swali lilikuwa ndani ya mada kabisa, tena sana.

Swali la M.P.AWEDA lilikuwa ndani ya mada,hauwezi kuthibiti madawa ya kulevya halafu watu wanao2humiwa na madawa kama G.NZOWA wasiulizwe!! Nzowa alipaswa ajibu lile swali lipo ndani ya mada kwanin alipokea usd 20k kutoka kwa manji ili wambambikie kesi mtoto wa mengi?
 
Hivi mbona kama Nzowa amekwenda zaidi ya miaka sitini. Mbona hajasitaafu?
 
Nimefanya utafiti wangu kidogo kuhusu huyo jamaa anaitwa Michael Aweda nikagundua ni mwanachama wa CHADEMA, Mwanaharakati wa kijamii na mdadisi mzuri sana kuhusu mambo mbalimbali humu JF, Facebook, Kwenye Runinga, Makongamano, Mitaani nk.
Na habari nilizozipata ni kuwa yuko mbioni kuja kugombea ubunge jimbo la Ukonga 2015 kwa tiketi ya CHADEMA.

Popote wanaCCM tulipo tujipange kupata mgombea bora sasa ili kuja kupambana naye 2015 maana kuna kila dalili kwa Ukonga kwenda upinzani.
Huyo Michael Aweda amejipanga vizuri sana, maana njia aliyoipitia Mnyika kuchukua jimbo Ubungo 2010 namwona Michael Aweda akiipitia pia katika jimbo la Ukonga sasa kuelekea 2015.
 
Hivi mbona kama Nzowa amekwenda zaidi ya miaka sitini. Mbona hajasitaafu?

Huyu kamaa alishastaafugi siku nyingi ila akaombwa tena kurudi kazini eti ni mpambanaji mzuri katika hicho kitengo cha dawa za kulevya,nilishaendaga pale ofisini kwao kurasini na kukuta magunia ya bangi tu lkn madawa hatukuyaona,nilipomuuliza yapo wapi akaniambia tukiyaacha hapa wazee wa kazi watakuja kuvamia fasta na kuondoka na mzigo.
 
Popote wanaCCM tulipo tujipange kupata mgombea bora sasa ili kuja kupambana naye 2015 maana kuna kila dalili kwa Ukonga kwenda upinzani.
Huyo Michael Aweda amejipanga vizuri sana, maana njia aliyoipitia Mnyika kuchukua jimbo Ubungo 2010 namwona Michael Aweda akiipitia pia katika jimbo la Ukonga sasa kuelekea 2015.

Diwani wa Gongo la Mboto na Meya wa Ilala Jerry Silaa atamrithi Mwaiposa

ashaingia cabinet ya E.L
 
Endelea kuwa mwoga mtoto mzuri utaishi milele. Kwa sababu hao mnaowaogopa siyo binadamu na hawajaumbiwa woga.

Hakuna mtu aliyeishi milele kwa uoga wake,"COWARDS DIE MANY TIMES BEFORE THEIR REAL DEATHS, BUT THE VALIANT NEVER DIE EXCEPT ONCE"
 
Dah alimshika pabaya sana aisee...
Angemuongezea na la ile list ya Mkuu wa kaya ya wauza madawa ya kulevya kama ameishapata ili afanyie kazi...,au kama hajaipata ni lini ataenda kuichukwa kwa m/k iliwaliomo kwenye list hiyo wafikishwe mahakamani.
 
Hataenda tena kwenye midahalo ya dawa za kulevya huyo maana hili swali bado litaendelea kumtesa akitaka aje atoe majibu kwa watanzania na yaeleweke
 
Alimbana mapumbu almanusura aj_mbe hadharani!
Lile swali lilikuwa mahali pake pale tatizo watangazaji wetu hawako makini, wanaboa, wanajichekeshachekesha kama malay, mahali pa kukaza jicho wao wanalilegeza..
 
Back
Top Bottom