We we huwezi kuoa unapenda kuhesabu mabaya tu.
Unamboa Sana huyo dada yaelekea unamasimango Sana.
Pia unakidomodomo Sana.
Nimejuaje?
Unaeleza vitu vingi husau halafu unataka kick we we.
Wanawake hawafuati matumizi tuu ni pamoja
ahaaaaa wewe jama umejiandaa mda gani kutunga hii movie? Jiandae kuwanasa akina analiu maaana hii movie ikiendelea kuna kitu nakinusa kabla lowasa hajaapishwa.
Anyway kuna somo furani nimepata.
kumbeeee! Anyway chukua uishauri huu ukipenda. Endelea kusomesha watoto kama hali inaruhusu, ila tafta mwanamke uoe. Trust me siku akiopata numberless mpya, ina nyasi za kutosha utasahau kuwa ulishanvuaga kyupi.
Unasubiri nini kumfukuza?
Roho ya kikatili sana hiyo, siwezi historia itatuhukumu
Wewe RingaRinga ni mfano wa kuigwa. Wanaume wote wangekuwa kama wewe basi dunia ingekuwa sehemu nzuri sana.
Kama ndivyo ulivyo na sio story unastahili awards
Huyo Dada anapepo siyo bure inawezekana ndiyo sababu iliyomfanya akaachika kwa mwanaume wake wa kwanza.
Naona dalili za wewe pia kuwa kiwembe ....
mark my words.
Najaribu kummbadilisha,
Hongera na Pole mkuu. Binadamu hatujakamilika na Mara nyingi upendo , utu na wema ni moja ya njia ya kumrudisha mdhambi/mdhaifu kwenye sense zake halisi. Hivyo nakupongeza kwa nia njema yakutokuangalia historia yake kama kikwazocha nyie kutokuwa pamoja bali kama funzo la kujifunza na kuanza upya.
Kimsingi huwa naamini kuwa binadamu wote tu wema na pia tuwabaya . Kipi kinajitokeza Zaidi ni mazingira tunayokumbana nayo na utashiwetu. Ukiulizwa unaweza kuiba unawezasema hapana ila kiukweli unaweza ilautashi wako na dhamiri havikushuhudii hivyo. Nisiende nje ya mada , ninachopenda kusema nikuwa katika maisha ya familia na ndoa kuchukuliana ni kwingi sana . Nainapoonekana kuwa mmoja hawezi tenakurekebishika basi utengano wenu usiwe wa visasi na vita. Haumsaidii yeyote.Mleta hoja ameonyesha utu sana kwa dhana yake ya kuendeleza fadhila japo lazimaufanye hivyo ukikumbuka una majukumu na one day utakuwa responsible kwenyefamilia yako na uhakikishe haumkwazi utakaye mpata. Yawezekana wakati mnakutana hakuwa amerecoverkwenye utengano wake wa awali na mihemko tu iliwapelekea kuishi pamoja. Dont datea vulnerable person ataishia kumake vulnerable decisions. Mpe nafasiajitafakari na aendelee na maisha huku ukimuombea dua zako zote aende vema. Nahili lisiwe kifungo kwako kwa wewe kujisikia responsible kwa kila bayalitakalompata . Ukiendekeza hata mke utakayeoa atakimbia.
Najaribu kummbadilisha,
unambadilisha mtu mmekutana kila mmoja na meno 32 mdomoni, kweli wewe chizi. Hivi wasichana wameisha, mpaka kijana kama wewe ubajibebeshe zigo la mwanamke aliyezalishwa watoto wawili na karama za ndoa hakuzipata. matatizo mengine ya kujitakia. huyu dada ni papa la jiji lililoshindikana. hana mapenzi na wewe ndio maana unachunwa, fungua macho. mwanamme unayempenda huwezi kumletea matatizo na shida mpaka za ndugu. wewe ndio unajua una mchumba ila yeye ana buzi.
unambadilisha mtu mmekutana kila mmoja na meno 32 mdomoni, kweli wewe chizi. Hivi wasichana wameisha, mpaka kijana kama wewe ubajibebeshe zigo la mwanamke aliyezalishwa watoto wawili na karama za ndoa hakuzipata. matatizo mengine ya kujitakia. huyu dada ni papa la jiji lililoshindikana. hana mapenzi na wewe ndio maana unachunwa, fungua macho. mwanamme unayempenda huwezi kumletea matatizo na shida mpaka za ndugu. wewe ndio unajua una mchumba ila yeye ana buzi.
huenda amekariri ni muda gan unapita then ndo inajireboot,so anailia timing cm yake.inaji-reboot baada tu ya kuandika neno NITAENDELEA..
Simu yako iko sensitive sana