Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

Hihihiiiiiiiiiiii,loverboy uzuri wa Jlo umemchanganya kabisa!!!

Inafikia mahala hata hauuoni huo uzuri, uzuri wa nje unapaswa umatch na uzuri wa ndani, vingiinevyo uzuri huo utakuwa sawa na wa jini, (hata majini wana nafuu)
 
duuuh unaroho ngumu watoto wawili then nawe unaunga hapohapo......kwani kina miss chaga n cute huwaoni wako single wewe unabeba mwenye matatizo kibao.....hapo unatafuta presha n stress sugu
wenye watoto wataolewa na nani?
Hawa kina miss chaga ndungu yangu wana uhakika wa kuolewa hivyo hawanihitaji sana
 
Paka shumeeee where ar uuu shost ndo huyooo keshakuja

huoni umechukua gunia l misumari hilo halibebeki....utazeeka kabla y umri wako hata huyo mmewe w kwanza alimuacha cz y matatizo hayohayo.....hapo lazma uzeeka cz ya stress
 
We we huwezi kuoa unapenda kuhesabu mabaya tu.
Unamboa Sana huyo dada yaelekea unamasimango Sana.
Pia unakidomodomo Sana.
Nimejuaje?
Unaeleza vitu vingi husau halafu unataka kick we we.
Wanawake hawafuati matumizi tuu ni pamoja
 
Endelea kutoa msaada tu, siku biashara ikikata ndio utaujua upande was pili Hugo binti

Teh, km ni kukata itakuwa imekata kwa sababu nyingine, sio huduma kwa huyo, not as weak as such
 
Sasa naona nawe itabidi upate mwanamke mwenye moyo kama wako wa kumsaidia aliyetendwa.
 
huoni umechukua gunia l misumari hilo halibebeki....utazeeka kabla y umri wako hata huyo mmewe w kwanza alimuacha cz y matatizo hayohayo.....hapo lazma uzeeka cz ya stress
Mwanzo nilipata shida, ss si part of things vinanifikirisha, namalizia somo tu ingawa simwombei mabaya
 
We we huwezi kuoa unapenda kuhesabu mabaya tu.
Unamboa Sana huyo dada yaelekea unamasimango Sana.
Pia unakidomodomo Sana.
Nimejuaje?
Unaeleza vitu vingi husau halafu unataka kick we we.
Wanawake hawafuati matumizi tuu ni pamoja

Ningeongea kila kitu ungeniona nimelishwa limbwata, halaf hakuna mtu anajua nani anaongelewa hapa, nina uhakika huo, pia naongea hp kupunguza uchungu na kushare ideas na mafundisho km yamo, sina kawaida ya kidomo. Lakini ikifika mwisho naweza kuongea km hv.

Halaf wanawake wanaoolewa wanapatikana % ngapi toka jf? kisha jiulize iwapo hoja yako kuwa natafta kiki hapa km ina mashiko.

Mwisho nakushangaa hadi natamani nikujibu kwa mtindo uleule ulokuja nao, ustaarabu unalipa
 
Mfupa uliomshinda fisi we binadamu utauweza?!
Uzuri wa mwanamke ni tabia usidanganyike na sura!

Huyo dada ana akili zinazomtosha yeye mwenyewe..., we ng'ang'ana tu ila naamini ipo siku utabwaga manyanga mwenyewe!!
 
Msomaji naomba uelewe kuwa mdada huyu ni beutiful aina ya JLo hivi, siamini km uzuri wake unatawala akili zake.

Lakini mm nimeamua kumwonesha true Love ingawa siwasliani naye sana, wala hatu'do', na hakuna anayehoji kati yetu, naendelea kumhudumia yeye na wanae, nafanya hivi kwa ajili ya watoto wake tu,

Sasa najiuliza hivi mdada una watoto wawili umepata mtu anakupenda wewe na wanao, anakuhudumia vizuri tu pia umeahidiwa ndoa km hakutakuwa na kikwazo toka kwa X', unapata wapi muda wa kucheza na nafas km hii? (ingawa si kitu ninachokitaja kwake, naangalia na kujiuliza moyoni tu)
Why mtu awe na akili ya dizain hii?
Ni kitu nilichojiwekea nadhiri kuwa ntapenda kuoa mwanamke mwenye mtoto 1 au 2 aliyetendwa na x' nikiamini nitamsuprise kwa upendo wa aina yake, maana hata nisipokuwa karibu naye yeye, ni rahisi kuwa karibu na watoto, na ni rahisi kuonyesha upendo kupitia kwa watoto, ingawa haimaanishi kuwa sikuwa pationate kwake, nilikuwa pationate sana tu & she didn't regrate when it came to 6x6 issues, i'm qualified aisee.

ahaaaaa wewe jama umejiandaa mda gani kutunga hii movie? Jiandae kuwanasa akina analiu maaana hii movie ikiendelea kuna kitu nakinusa kabla lowasa hajaapishwa.
Anyway kuna somo furani nimepata.
 
Ndo maana nasema nikimpata anayejua kupenda, u'steping stone utaishia hapo'
most of beauties kwa kweli ni sheeeda ingawa si wote

kumbeeee! Anyway chukua uishauri huu ukipenda. Endelea kusomesha watoto kama hali inaruhusu, ila tafta mwanamke uoe. Trust me siku akiopata numberless mpya, ina nyasi za kutosha utasahau kuwa ulishanvuaga kyupi.
 
Back
Top Bottom