Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

Hiyo unaitwa microsoft lumia. Ni mid range phones.... ni nzuri. Na kuji reboot huenda betri imeisha. Au inatingishika... ila ukweli unaujua mwenyewe na simu yako.

Betry iko strong & tight maana nimekachukua June this 15,
siku nyingine inaweza reboot hata mara5, lakin jana iliacknowledge uwepo wa virus ikaomba kuscan nikairuhusu, tangu jana haijareboot.
Nahis lilikuwa ndo tatizo, nilikuwa nafanya kwa tahadhari tu isijenirudisha nyuma.
 
Betry iko strong & tight maana nimekachukua June this 15,
siku nyingine inaweza reboot hata mara5, lakin jana iliacknowledge uwepo wa virus ikaomba kuscan nikairuhusu, tangu jana haijareboot.
Nahis lilikuwa ndo tatizo, nilikuwa nafanya kwa tahadhari tu isijenirudisha nyuma.
Mkuu. Fanya kama una restore. Back up vitu vyako muhimu..... nakushauri upige hard reset tu. Kama uko ndani ya warranty na problem bado ipo. Onana na walo kuuzia.
 
Hihihiiiiiiiiiiii,loverboy uzuri wa Jlo umemchanganya kabisa!!!
 
Upendo hauhesabu mabaya, upendo huvumilia yote
 
duuuh unaroho ngumu watoto wawili then nawe unaunga hapohapo......kwani kina miss chaga n cute huwaoni wako single wewe unabeba mwenye matatizo kibao.....hapo unatafuta presha n stress sugu
 
We endelea tu maana hakuna namna!
Ni course ya aina yake, ila siku nikimpata anayejua thamani ya kupendwa somo litakuwa limefikia patamu, maana sitakuwa huru tena kumsaidia labda asaidiwe na mke wangu maana mm ntabadilisha hadi namba ya simu
 
Kumbe umamalizia. We huyo dada hukumpenda wala nini, ndio maana unahesabu kama unamsaidia yeye na wanae.

Ndo maana nasema nikimpata anayejua kupenda, u'steping stone utaishia hapo'
most of beauties kwa kweli ni sheeeda ingawa si wote
 
Endelea kutoa msaada tu, siku biashara ikikata ndio utaujua upande was pili Hugo binti
 
me natumia lumia 520 cm yangu nayo inamatatizo hayohayo tatizo ni nini??

Nahisi ni matatizo ya virusi maana mm inapokuwaga hivyo siku ikiomba kuscan nikiruhusu huwa baada ya hapo hairudii tatizo, hadi baada ya siku kadhaa, (kudownload² vitu inapelekea)
 
Back
Top Bottom