huenda amekariri ni muda gan unapita then ndo inajireboot,so anailia timing cm yake.
Huyo asha shindikani . usifikiri aliyemuacha kakosea . ni makosakufikiri mwanaume ndie aliyemtenda bila kuskiliza pande zote za hadithi.
me naamini hujatumia akili yako vizuri kufikiria,kwanza kitendo chakuamini kuwa yeye aliondoka kwa mumewe aliye mzalisha kwa sababu ya ukicheche wa jamaa,halafu hapo hapo jamaa akaoa mwanamke mwingine,halafu hapo hapo unatuambia huyo mwanamke ana umbo kama la jlo...halafu hapo hapo unasema mwanamke ni muongo muongo sana na bado umekomaa nae....tumia akili yako vizuri mkuu,kama walishindwana na mtu aliyempeleka wodi ya wazazi tena mara mbili...wewe sijui nafasi yako kwake ipo wapi??sion hata kama anahisi yupo na mwanaume...
Total football, style hii ndio nilioitumia kufikia maamuz. Skuhitaji kumchimba sana nilijua atanyookea humohumo.
Km umenisoma vizuri utagundua kwamba sina future project naye zaidi ya kumsuport kwa muda kabla sijaanza maisha mengine, KIUTU tu.
mbona ka hueleweki mara unampenda ye na watoto mara huna future project
mara namsaidia tu.. Dude we mwenyewe hata hujajielewa unataka nini
Sawa sawa mshika pembe.. endelea!
Daaaaa! Pole sana best
RingaRinga,
There are few man like U
Hongera ningekupata mm usingejuta
hamna kituuu mi pia nna window 535 ... mbna haizngui????.... halaf hyo mwanamke mpka hapo usiendleee kuomba ushauriii hakufai... kam huwez kumuach kashakupachika limbwataSio case ya charge, ni window 535, sjui km ndivyo zilivyo au ni kitu gani