Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

Nampenda sana yeye na wanae lakini sasa..

hamna kituuu mi pia nna window 535 ... mbna haizngui????.... halaf hyo mwanamke mpka hapo usiendleee kuomba ushauriii hakufai... kam huwez kumuach kashakupachika limbwata

Hahaa nl longtime mkuu ana hamsini zake na mm nna zangu .
Shida ya hiyo lumia ilishaisha., ilikuwa inasumbuliwa na virusi mkuu
 
Humu huwa hamna ushauri zaidi ni kuponda tu ni wachache sana wenye busara wanaoweza kukuadvice zaidi wataunyong'onyeza moyo kifupi amua kile moyo unataka kufanya
 
Dah ww noma huo msaada c ungekuwa na mrembo wako mpya mkatengeneza family,ukizaa nae mtoto utapata shida maana mtoto ufata akili ya mama na mama mwenyew ndio huyo amna jipya kichwani.
 
Back
Top Bottom