Nampenda sana Mwita25

Du! Kumbe ulifata ushauri wangu hukuchange jina. Endelea kujipenda
 
:lol::lol::lol:
 
Yaaani mimi Mwita25 namkubali kuliko hata mtoa mada..... Dah!
 
mmmh, mwita25 unakokwenda siko,
shauri yako lakini.
 
Du! Kumbe ulifata ushauri wangu hukuchange jina. Endelea kujipenda

Ulinipa ushauri lini mwayego? Mbona hata sikukumbuki? Au ndiyo mbinu ya kutafuta sehemu ya kuji-attach? Tehe tehe tehe, karibu sana
 
Mimi Huwa nampenda Mwita25 kwa sababu hua namhesabu kuwa katika watoto Watukutu yeye humu ndani ya Jamii Forums ndio kiongozi wao tehetehteh na hayo macho yake utafikiri mtoto aliye kanyagwa tumboni.......

amerithi mikoba ya mtoto Yo yo
 

​Mura, hiyo imekaa kimombasamombasa, ebu fafanua zaidi.
 
Nakumbuka niliwahi kuwauliza Mods kwamba hapa Jf hapauzwi pombe ? Kwa maana mie nna "Jini Makatta" halikubaliani na pombe! Nikahakikishiwa kua pombe hapa prohibited! That's why nika'join, hata hivyo nashangaa kuona membars wamelewa wako bwii ! Nahisi bado pombe humu inauzwa kwa siri ! Tena asubuhi hivi looh !
 

Hiyo pombe inanywewa kupitia chupa zinazoitwa keypads bila shaka. Wahudumu ni FF, Mamdenyi, Miss Malaika na Husninyo. Meneja wa baa ni Ritz akisaidiwa na kaka yake Rejao. Walinzi wa mali na usalama wa raia wanaokunywa ni Figganigga, Rev. Masanilo na Nyani Ngabu.
 
Mwita25...taingie uamie Magwanda umekuwa mkiwa sana!
 

Mama yako ni kijana? unampenda au humpendi?
 
Nikiwaambia FF ni selebriti namba 1 huwa sikisii.
 
Mbona umenisahau mie mfagia toilet wa hyo bar na kufua shuka za gest?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…