RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,769
- 107,994
Nimesoma pages zote,kila comment. Sasa najiuliza, huyu mtu kaja na thread yake anamzimia mahondaw sasa inakuwaje Smart911 akereke kiasi cha kuhatarisha uhusiano?!
Alichofanya mtoa mada ni sawa na mtu akutane na gf/mke wako mtaani halafu huyo mtu avutiwe nae na aamue kuweka mkakati wa kumpata, sasa wewe bf/mume utakasirika mpaka kutishia ndoa/uhusiano wako?
Au kuna kitu zaidi ya hii thread ambacho sisi wengine hatukijui ndio kimeleta huu mtafaruku?!