Hivi alipotelea wapi?
Wadada wapo nishakutana nao kibao tuKuwa makini, utapenda wanaume wenzako humu.
Sio huyu alielike hii post?Hivi alipotelea wapi?
AiseeWadada wapo nishakutana nao kibao tu
Baado watu wanapendana 😂Mapenzi yalikuwepo enzi za Mwalimu, sasa hivi ni wizi wizi mtupu
Mbona tundu dogo hivo hata kidole hakipitiEti mwanadada kumbe ni njemba!Jombaa endelea kuweka donut rehani iloView attachment 3569606
Unaonekana unafaa faa kidogoBaado watu wanapendana 😂
We jamaaMbona tundu dogo hivo hata kidole hakipiti
Watu huku nyuma ya keyboard wanajidai hawapendi mala ooh hakuna mapenzi huko behind mapenzi yanawagalagalaza kifo cha mende 😂😂😂Unaonekana unafaa faa kidogo
HehehehMkuu endelea kupambania mimi MWENYEWE mke wangu nimekutana nae humu humu JF