Alikua ana abeepndiyoo
Hata nyayo bado![]()

mtoa mada yuko online anatuchora tu![]()
Aje niongee nae amchukue mumu wake

Hizo emoj ndio vipi tena
Hizo emoj ndio vipi tena


lubede huyooooo kaja![]()
Sizipendi mimi
basi dada angu mzuri mzuri
Acha dharau,thats all i can tell for now
basi dada angu mzuri mzuri
Asante sanaNi mdada anayejielewa mdada mrembo
Sasa hapo mumu anafikiria aliyemuandikia thread anafananaje mambo ya jf nayo usikute kiben10
hafikirii kuwa labda atakuwa na mandingo