mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,355
- 23,084
Akikubaliwa atakuwa amepata kitu cha ukwelikwa hiyo jamaa amepata au amepatwa
Akikubaliwa atakuwa amepata kitu cha ukwelikwa hiyo jamaa amepata au amepatwa
![]()
![]()
hafikirii kuwa labda atakuwa na mandingo
Buana mm sitaki ujue nimeambiwa niache dharau usinirudishe huku tena
nani amekuambia hivyo
![]()
![]()
![]()
nani amekuambia hivyo
NeighbourJibu lisichache. Neighbour nipe mrejesho
husahau?!Nitaanzia wapi kusahauNeighbourhusahau?!
Shhhhh..ntakunon'gonezaaNitaanzia wapi kusahau

Nimekwisha na UKIMWIShhhhh..ntakunon'gonezaa![]()
Tafadhali mpokee mateka wako mumuJamani kusema kilichopo moyoni ni nusu ya ahueni hata kama haujakipata,kuna mwanamke humu anaitwa Mumu,kwanza jina tu huwa linanisismua since day one naliona,uchangiaji wake,hata akiongea pumba naona kapatia na ninafurahia,hivi hisia nazo ni ugonjwa au?
Mumu popote ulipo naomba utambue kuwa nakupenda,je kuna yeyote ana mtu wake anampenda humu JF na anahisi hawezi kumpata au kumwambia ukweli?
kama kuna muhanga mwingine kama mimi hapa ndio sehemu ya kujiripua,hauwezi kujua,may be leo ndio siku yako...i love u Mumu...
Nimesikitika kaburi limefufuliwa jiraniJirani kumbe mambo ndio mazito namna hiyo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()



