HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Kweli muda ni dawaNimesikitika kaburi limefufuliwa jirani![]()
Kweli muda ni dawaNimesikitika kaburi limefufuliwa jirani![]()
Hahaa jiraniiiiii...em niambie siku yako leo,uko poa?!Kweli muda ni dawa
Siku imeenda vyema kabisa. Sijui upande wakoHahaa jiraniiiiii...em niambie siku yako leo,uko poa?!
Mungu ni mwema,.niko salama mm na wanizungukaoSiku imeenda vyema kabisa. Sijui upande wako

Mumuuu.....shoga huko kiranjeranje ntakuja nimwone mganga wako maana sio kwa kumpagawisha MTU kiasi hiki





uwiii hii comment sikuiyona nimecheka saaaana....njoo nikupeleke mwaya,.Hahahahaha poaaaaauwiii hii comment sikuiyona nimecheka saaaana....njoo nikupeleke mwaya,.
Wooooyoooo kamanda wanguu umeachiwaaMumu
Hahaha ndio ban imeishaaWooooyoooo kamanda wanguu umeachiwaa
Karibu shem darling...ulimisika kinoma nomaHahaha ndio ban imeishaa
Stop mopping m'eeeenMambo ni moooooooooto..dada huyoooooo anaolewaaa

Yani hadi umeanzishiwa siled hahaha kweli nimekosa mengi shem darlingKaribu shem darling...ulimisika kinoma noma
Wooii.. Umepitwa shem darling kuna mtu limoyo lake limeshindwa kusukuma damu kabisaaaYani hadi umeanzishiwa siled hahaha kweli nimekosa mengi shem darling




