Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Yamooooooo
yaliyo yamo??? inama inama,, kwangwaru![]()
yaliyo yamo??? inama inama,, kwangwaru![]()
Atakuwa bado anafikiria kama kawaida yenu mnaombaga mda mfikirie kwanza sijui mnakuwa mnafikiriaga vitu gani
Duuuh,.pambe tyuuu![]()
Ataleta majibu tu subirini kidogo, saivi anaomba ufunuo wa mwongozo kutoka Roho Mtakatifu
Hahahahaa... UwiiiWe ushamuona live?

Haha leo niambie ndugu huwa mnakuwa mnafikiria vitu gani?Tunafikiria mengi ujue
Hahahahaa mbavu zangu jomoniiMumu anaonekana ni kisu cha hatari jamaa kachizika kabisa hadi kaanzisha uzi



Inawezekana kabisa alafu anaonekana ni mtoto wa mchungajihuenda anafanana na OMOTOLA
Tupe wasifu wake kidogo tuMpaka naongea hivyo ujue najuana nae
kwa hiyo jamaa amepata au amepatwaInawezekana kabisa alafu anaonekana ni mtoto wa mchungaji
huyu mtoa uzi huenda anamiliki BMW, mana mtoto huyu sio wa kupanda bajaj










Jesooossss chineke'mee oga oga stop nah"huenda anafanana na OMOTOLA








watoto kama hawa ili umfaidi vizuri inabidi uwe salio kwenye acc, shopping za hapa na pale, mara znz mara dubai mara hong kong
Haha leo niambie ndugu huwa mnakuwa mnafikiria vitu gani?
Shenzzyy taippKaka we unajua mana ya mwanamke hapo kuweka salio kwenye acc ndio kumenikosha



hivi unajua huna akili nyau ww