Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
huyu mtoa uzi huenda anamiliki BMW, mana mtoto huyu sio wa kupanda bajaj








huyu mtoa uzi huenda anamiliki BMW, mana mtoto huyu sio wa kupanda bajaj








Wee kaka jomoniiwatoto kama hawa ili umfaidi vizuri inabidi uwe salio kwenye acc, shopping za hapa na pale, mara znz mara dubai mara hong kong


Aise, kwahiyo mechi za mpira watachezea wapi simba na yanga?hee naona dege linatua hapa uwanja wa taifa
yaaa ndo utamfaidi mumu vizurKaka we unajua mana ya mwanamke hapo kuweka salio kwenye acc ndio kumenikosha
Tupe wasifu wake kidogo tu
Shoga lazima upate hata verossa sio kwa pambe hii kuntuu![]()
yaaa ndo utamfaidi mumu vizur
Hahaha kweli aongee na mm vizuriMfyuuuu![]()
Ashakhum si matusi,..Ujue kaka naweza ghairi mleta thread asimchukue nikakupa wewe



dadekkiiBasi shughuli nakuachia ww mama mjengoo...me vyovyote sawa tuu nimekusarendiaHahaha kweli aongee na mm vizuri



mumu ameshakolea pale kumnasua ni vita,,, namuoana mshipaUjue kaka naweza ghairi mleta thread asimchukue nikakupa wewe

Basi shughuli nakuachia ww mama mjengoo...me vyovyote sawa tuu nimekusarendia![]()
mumu ameshakolea pale kumnasua ni vita,,, namuoana mshipa![]()



me namuachia Shunie akiamua kuniuza sawa kunipiga mnada sawa kunitoa bure pia sawa..