Nampenda mume wa mtu

jamani mbna sina tamaa na mali mbna watu wengi wenye mali nawaona? why binadamu mnagugde hivyo? ningekua nataka mali hapa kwenye jukwaa ningekuja kufanya nini
Kuhalalisha maamuzi yako ya kijuha. Haiwezekani ukamkimbia Mkristo Bachelor na ukakimbilia kwa Mkristo Married kama hakuna sababu nzito na sababu NZITO ni MALI!

I hate moneymongers na wanaotafuta sababu za kuhalalisha tamaa zao za mali. I hate them most.

Bazazi ni Bazazi
 
sababu sio mali labda ungeniuliza nikakwambia sababu ni nini ingekua mali nisingekuja hapa kuleta huu uzi
 
wanaume wangapi wanamali si ningewafata
 
Tupe taarifa muhimu ili tukushauri....... Umeshampa mara ngapi?
 
wanaume wangapi wanamali si ningewafata
Unachopinga ni nini? Leta sababu ya kumkataa huyo Mkristo Bachelor na kisha leta sababu ya Kumkubali Mkristo Married! Kwangu ningekuelewa uzuuuri ungalisema Nimemkubali Muislamu Married (nimempenda mume wa mtu). Kwasasa wewe ni msakamali tu.

We unasumbuliwa na Ujuha wa Mali

Bazazi ni Bazazi!
 
She is just 24..... Hana uelewa wa uhalisia wa maisha
 
Eti upo serious!!! Do you know the meaning of being serious??? Acha kujipotezea Muda, huolewi ng'oo
 
Miaka 24 una complicate mambo ivo ukisubir mme wako utapungikiwa nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…