Nampenda mume wa mtu

Nasikia CBE wanatabia ya kujiuza halafu ni makahaba kubuhu. Tetesi lakini
Amekanusha yeye si mCBE. Sijui atakuwa m-IFM? Maana kasema chuo chake ni "maarufu" hapa mjini
 
kwa hiyo mapenzi yako sasa hivi yapo kwa mume wa mtu na siyo kwa huyu jamaa aliekusubiri tokea ukiwa mdogo??? [emoji30]
 
yeye pia ni mkristo
Naamini kabisa wewe si mjinga tu bali juha kabisa. Unamuacha mwanamme mseja kisa Mkristo halafu unaangukia kwa Mwanaume mwenye mke ambaye pia ni Mkristo. Huu ni ujuha uliopitiliza.

Nakushauri zaa na huyo Mme wa Mwanamke mwenzio kwani mtoto akulia wembe na apatiwe.

Bazazi ni Bazazi!
 
ndo maana nikaomba ushauri tatizo moyo sio ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…