Nampenda mume wa mtu

Nampenda mume wa mtu

jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Mkuu inaonekana unasumbuliwa na pepo la ngono. Kama ukishindwa kufunga ndoa na Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangu je,ulikosa mtu ambaye ni wa dini yako na yupo single. Acha single mothers waongezeke kumbe hujitakia wenyewe.
Ivi mkuu una element za umalaya?
 
sasa cheupe,
atampata wapi wakati wanaume sisi tuko wachache kuliko nyie?
hebu fikiria kati ya watu 10, sita ni wanawake, wanne ni ke!
hao wanawake wawili watajizalizalisha jamani?
wanaume wapo wengi sanaa, awe mvumilivu, uke wenza sio dili kaka atajutaaaaaaaaa
 
hapana mkuu sina elements za umalaya ninajiheshimu sana ningekua malaya nisingekuja hapa kuomba ushauri......wa dini yangu ambae yupo single sijapata
Mkuu kama huna element za umalaya kwanini unaparamia Mme wa mtu?
Unajua wamechumaje Mali zao na wewe unadandia juu juu? Ivi kugongwa na Mme wa mtu siyo kuzini kweli huko au macho yako?
 
Mkuu kama huna element za umalaya kwanini unaparamia Mme wa mtu?
Unajua wamechumaje Mali zao na wewe unadandia juu juu? Ivi kugongwa na Mme wa mtu siyo kuzini kweli huko au macho yako?
ni kuzini pia kugongwa na single ni kuzini pia kote ni kuzini tuuu...mimi sina shida na mali mkuu kwetu tuna mali nyingi tuu naangalia upendo na ndo maana naomba ushauri
 
mkuu compact huyu mpenzi wangu tunashindwana kwa sababu ya dini ndugu zangu hawataki kunifanyia sendoff sasa anataka nikaishi nae kama mume na mke ndipo tufunge ndoa baadae jambo ambalo mimi silitaki pia amekua mtu wa kunilaani sana kua amenisubir muda mrefu na ikumbukwe mimi Nina 24 years kipindi ananisubir nilikua mdogo sana sasa yeye ananiachia laana kila siku
Thread ya kuomba ushauri kwasababu ya dini tofauti ulisema una 25yrs, kwenye thread hii unadai una 24yrs..amazing!!!
 
ni kuzini pia kugongwa na single ni kuzini pia kote ni kuzini tuuu...mimi sina shida na mali mkuu kwetu tuna mali nyingi tuu naangalia upendo na ndo maana naomba ushauri
Kwa hiyo mkuu upendo umeupata kwa Mme wa mtu?
 
Wanawake wakwale mtuachie waume zetu, mume anauma Ooh ntatoa mtu Busha la kike
 
Dini kama inaruhusu ni vema akakuoa kuliko kuibaiba.
 
kwa kipindi hiki cha simanzi na stress naona ananifariji mkuu
Mkuu hauzini kweli kufanya hivo?
Kama jibu ni ndiyo Muogope Mungu wako na kama jinu ni hapana endelea ila ujue kuna kumwagiwa tindikali
 
Back
Top Bottom