Nampenda mume wa mtu

Nampenda mume wa mtu

jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
pole.....
 
umeshasema mme wa mtu!!!!,tafuta wako acha kuvunja ndoa za watu, ingekuwa ni wewe alafu usikie mume wako anataka kuoa mwanamke mwingine ungejisikiaje?????????
sasa cheupe,
atampata wapi wakati wanaume sisi tuko wachache kuliko nyie?
hebu fikiria kati ya watu 10, sita ni wanawake, wanne ni ke!
hao wanawake wawili watajizalizalisha jamani?
 
Pole sana. Anakuchezea huyo. Keshaona akili yako sio ya kijanja so kapenyeza ndoa umchanulie apate anachokitaka. Girl be careful, extra careful
yeye pia ni mkristo
 
anataka niwe 2nd wife

1. Ninyi ni Waislamu? Au niulize, dini yako na yake zinaruhusu mke zaidi ya mmoja?

Kama jibu ni ndiyo...

2. Anampenda na kumtunza mkewe wa kwanza?

Kama jibu ni ndiyo...

3. Muambie afuate taratibu zote akuoe.

Kila la kheri Tuchki, mimi kadi tu naomba.
 
Sawa mkuu shukran
 
nipo home tuu nimemaliza chuo mwaka jana natafuta ajira
sikiliza my dear, huyo anaekupenda sana nawe unaempenda,
si kosa kisheria kupendana, ninyi wote si wanafunzi, mmeshajua mnatenda nini,
mwambie kwanza akutafutie ajira, ujihakikishie usalama wako wa maisha....
Jambo la kwanza hilo...umenisoma?
 
najaribu kuku pm inakataa....naomba tuongee pm please
 
Back
Top Bottom