Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

James bond ndo chaguo langu japo Jason namkubali kinyama. Kwa mabinti napenda movie za Angelina Jolie
 
Hyo hatari bidada, muangalie kwenye Italian Job nd utajua namaanisha nin!? Sema hyo crank bdo cjaipata naomba nijuze kidgo
Mbona hizo picha hasa ya kwanza kama ya The Mechanic: Resurrection is a 2016?
 
Transporter movie series

The bank job

The Italian job

Fast and furious

The expandables

Crank

Spy

Wild Card.

Jamaa anajua sana
 
Ni kweli kuna wanaume wanavutia duniani jamani wanawake wa mbele wana bahati sana

Tatizo hutembei hapa hapa bongo mbona tupo sana tu.. tena tunakimbiza mbaya kuliko hao wanaotengenezwa kwenye TV.. binti tembea utuone!!
 
Yeah, nilimwita mtoto wangu Jason kwasababu ya huyu mtu, napenda sana jinsi anavyojua kucheza character yake kwenye movie ya aina yoyote
Siku huyu jamaa kwa mfano akija kujitangaza ni Shoga kama yule wa prison break sijui utakua na hali gani kwa jina ulilompa mtoto.
 
Ninampenda sana.....to the extent familia yangu yote na watu wangu wakaribu wanalijua hilo,wanamuitaga Shemeji.
Beb ananuga hadi ugomvi kisa huyo mtu akinikuta nawatch mana ata kope sipepesi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom