ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,280
- 15,314
Maana ya Jason ni nini?Kiuhaliisa nalipenda jina na nilimuita mtoto jina hilo kwa sababu ya maana yake pamoja na mapnzi niliyonayo kwa huyo mcheza movie, ila main point hapa ni maana ya jina
Maana ya Jason ni nini?Kiuhaliisa nalipenda jina na nilimuita mtoto jina hilo kwa sababu ya maana yake pamoja na mapnzi niliyonayo kwa huyo mcheza movie, ila main point hapa ni maana ya jina
Watu wafukunyuku khaaaUnapenda jina la Jason hivyo ukampa mtoto wako au ulimpa kwasababu ya mapenzi yako kwa Statham?
Nimejikuta tu nikitamani kuelewa zaidiWatu wafukunyuku khaaa
AiseeeeeNi kweli kuna wanaume wanavutia duniani jamani wanawake wa mbele wana bahati sana
unajifari tu kumpata, ana kadem kazur huwez shindana nako.