Nampenda msanii wa filamu Jason Statham

Kiukweli muvi zake kuanzia transpoter na zingine ziko poa sana ila hayo mengine baki nayo mkuu!
 
Tusichanganye mambo haya...uzuri, urembo na mvuto..lakin kwa umoja wao hukuzwa na mazingira na uwezo wa kujihudumia...na hapa pia kunachangiwa na maono...unachokiona ww pengine ni tofauti na wanachoona wenzio...huu ni ukwel usio pingika kwa uwezo wa binadam jins tulivyo umbwa..wapo watakao mpenda jason kwa upara tu...lakin kwa saut wapo watakao vutiwa na vin diesel...haya mambo ni ver complex..
 
Nyie wadada wa jf mnapata dhambi sana kusifia hao watu wakati mimi amjaniona...
 
Mim huyu kaka aigize sterling ama jambazi napenda tu movie zake,,hapa nilipo nimechelewa kwenda sehemu ilianza kuonyesha movie yake ya crank kama sikosei hakika hua hakosei lo
Sio kwamba anavutia kivile lakim ni ana sifa za u gentlemen pia hebu cheki hapaView attachment 658088View attachment 658089View attachment 658091 ukitoa povu jua we ni kabaya unafanana na vibaka ndio maana watoa povu
Ktk movies zake zote naipenda sana 'the transporter'
Wengine hawapendezi kuwa na upaa lakin jason anapendezea
tutaishia kuwaona kwenye tv tu hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom