Nampenda mamdenyi na miss chaga

Nimeona humu kuna wadada ambao wana Hekima mfano; hawo niliowataja natamani wangekuwa ndugu zangu na sio wapenzi nmetengua kauli yangu ya mwanzo ili kulinda heshima yao baada ya kujua ni watu wazima kiumri zaidi yangu

Umejuaje km kuwa wamekuzidi umri?
 
Heee kwani mbugani ni mahali pa kugegedana? Si ungesema twende gesti basi

Guest kumezoeleka mno, mbugani ndo kuzuri hasa kwa mtoto mzuri kama ww, wacha tembo nao wakatupige chabo.
 
Miss Chaga na aunt yako Mamdenyi hamjajibu hapaa
 
umenikumbusha methali hii "nyani haoni KUNDULE" nilipoisoma hii ID nakushauri uweke avatar inayoendana na jina... (if possible)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…