Nampenda mamdenyi na miss chaga

Kama hivyo ni sawa;
Ili mradi umekubali,
Jipange tuite kikao cha familia.

Haya ndo unipe taratibu za kuja kwenu inakuwaje, maana nyie wachagga ni tofauti na sisi watu wa Katerero!
 
Nimeona humu kuna wadada ambao wana Hekima mfano; hawo niliowataja natamani wangekuwa ndugu zangu na sio wapenzi nmetengua kauli yangu ya mwanzo ili kulinda heshima yao baada ya kujua ni watu wazima kiumri zaidi yangu

Umejuaje Kama Ni Ma She Na Siyo Ma He? Mkuu Humu Kuna MAZINGAOMBWE Usiyoyajua Na Angalia Tu Usije Ukawa Unasanifiwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…