Asante mkuu kwa ushauriKwa ushauri wangu tu.
Binafsi naona ni busara na hekima ungemwendea pm ukaanzisha chart.
Ukiona anakupa ushirikiano mzuri katika chart basi mzoee kistaharabu
Zungumza nae mengi mwishowe badilishaneni namba za simu, na mkaongea ingekuwa rahisi mno kama mtapeana namba za simu pm.
Then mweleze hisia zako usisite kumwambia kile kilichopo moyoni mwako,
Mwambie ukweli kuwa umempenda nafikiri atakuelewa zaidi.
Kujaribu sio kushindwa,
Jaribu atakuelewa tu.
Ok! Monicca, kiutaratibu usidhubutu kumtamkia mwanaume kuwa unampenda na ungependa kuwa nawe. (Ni hatari sana mwanamke kumtongoza mwanaume).Ndiyo babu
Hatari gani?Ok! Monicca, kiutaratibu usidhubutu kumtamkia mwanaume kuwa unampenda na ungependa kuwa nawe. (Ni hatari sana mwanamke kumtongoza mwanaume).
....
hahahahahaNaogopa kumwambia
Tushike lipi?Wakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Ha ha basi Nyani NgabuAaah! Siye huyo! Id yake tu inatisha
Acha kuotea mummyHa ha basi Nyani Ngabu
Basi ndo unambie sasa lolAcha kuotea mummy