Hili ndio jukwaa lako kule kwenye siasa hatukutaki...andika pumba zako hukuWakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Ni rafiki yako Mshana_jrBasi ndo unambie sasa lol
Njoo inbox unambie, nitakuwa "mshenga" wako kufikisha ujumbe.Noo! Huyo ni vipoints vyake tu..
Ninae maanisha hapa ni mwngine kbsa
basi usiwe unatishia Kujamba Kumbe Una Nya sasa mim nikawa najua wew ni robot hujui kupenda kbsWanaume ni muhimu kwetu kama tulivyo wa muhimu kwa wanaume
Ivi mshana jr ni kijana?mshana jr umedondokewa huku
nimemwambia kuwa umemzimikia akajibu kuw "sha ha wa" zake zinaunguza na wewe hupendi, bado utamkubali tu?Natafuta kidumu
Kijana mmoja hivi ameiziiingIvi mshana jr ni kijana?
Mi nampatiaga picha kama mbaba vile