cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,914
- 78,970
Ndoa yako imeishia wapi binti?
Ndo maana nimesema
Itabidi nirudi kwa ID nyingine, stay tuned. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji53]Sawa lkn mlengwe hajawahi tukana tusi lolote tangu nimfahamu
Tatizo mi simjui ningekusaidia!!! Au kama vipi nipe ID yake!!Naogopa kumwambia
Hako ka utani ka jana tu kamenikosesha mke! mimina wanawake wa Dar es salaam basi itabidi nirudi tu kure kwetu niwatafute akina Nyasatu, Nyaswi, Nyanjiga, Nyamweko, Nyafungo n.k.Hahahaha! Utakuwa unajipotezea muda maana tayari yeye yupo na id yake naifahamu.