Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
Mimi nakupenda moniccca vipi unanikubari?Nijibie hapa?

Nimekuja funguka ya moyoni mrembo nipo kwaajili yako.Wakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Hahahaha! Omba Mungu mlengwa azidi udomo zege
Twende taratibu ba utaona mwisho wake aise lazima niibuke bingwa hapaHahahaha! ukiweza hivyo utakuwa umelamba dume
Jamani hili zali lilikuwa lako atiiii!!!Nakimbia kimbia tuu aise hataki kufunguka
Nitaje basi nijihisi mwenye bahatiNaona haya kumtaja
[emoji45] Yule mumeo kishakuwacha mwenye vimoto moto[emoji15]Wakuu hbr zenu!
Kuna kijana mwana MMU mwenzetu namzimia sana, ni mpole post zake zimejaa hekima na hajawahi kutukana, nimejitahidi kutupia vipost ili nayeye aje angalau lkn wanakuja nisiyo wapennda.
Naomba mnisaidie kumwambia plz maana moyo wangu krbu upasuke.
Atakaye nifikishia ujumbe huu ntampatia zawadi nono.
Mwambie yeye ndiyo pumzi yangu ntakufa kama akinikataa
Chonde chonde nisaidieni wakuu.
Wakuu hbr zenu!

hata sasa hivi . ..Sangapi nije?
niPM nikusaidie kukufikishia ujumbe dada angu. usiteseke zaidiRudi tu kwakeli..kawaletee wanaume wenzio
Nakupenda mremboNikwambie nn sasa?
Hujasema ni nani tukusaidie kumwambia..Ndo maana nimesema