Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Aiseee chapa kaz chalii angu, siku unagonga asbui yake anakupigia "sweety mtumie m3 ile naomba natumaga sn ela ako nakuja mda sio mlefu" Akikufata utaniambia na apo ndo unahamisha kijiwe
kazi ni kazi na mapenzi ni mapenzi, me najijua ni changamotto gani nimepitia hadi kufika hapa nilipo sasa, sizani kama naweza kuna zumbu kuku kiasi hicho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siidharau......lkn kutuliza iyo manzi kwa biashara ya mpesa sahau [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tena kaa mbali mana utarudi kijijini achana na vyura hawa
mwanamke ni sawa na maji hufuata mkondo unavyoelekea, sizan kama me nikim- trit kuwa pesa ntakuw nampatia na kias flan na kwa mda flan sizan kama atazingua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni sawa lkn, huoni kama ntaidhurumu nafsi yangu kama nikifanya hivyo!!?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndiyo maana nikakwambia, ulishaweka malengo na maamuzi tayari, hata ukishauriwa hutasikiliza...

Ila nakukumbusha tu, ukifanikiwa kumpata utaporomoka kiuchumi: you are not stable yet.

Ukimkosa pia utaporomoka kiuchumi, hatakuwa mteja wako tena.

The only way ya wewe kuendelea kuwa katika level nzuri kiuchumi ni kuachana na hilo wazo. Mfanye kuwa rafiki, kuna mdau alishauri issue za pipi, chocolate, biscuits, hiyo ni njia nzuri ya kuendelea kuwa na mahusiano mazuri kibiashara.

Hata hivyo wewe ndiye mwamuzi wa mwisho, unajua nini nafsi yako inataka.
 
me ntajitahid kushilia jahazi lisipelekwe na pepo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee vp manzi bado ajakubariki papuchi mpaka sasa na vipi kuhusu kuama geto lako la giza au ndio unasubir shemeji akupe mkwanja ndio uame[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] pambana mpaka umtie ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom