Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?


Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2018
Messages
2,647
Points
2,000
Bulaya001

Bulaya001

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2018
2,647 2,000
S

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
2,099
Points
2,000
S

Superb2014

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
2,099 2,000
Jitahidi kuwa na mazoea nae ya kawaida kadri siku zinavyokwenda kitaeleweka, kila lakheri usiache kulete mrejesho.
 
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
2,871
Points
2,000
Shombe la Kisomali

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
2,871 2,000
Mapenzi hayakimbiliki mkuu...,unaweza kujikuta unakomaa kutafuta hvyo then ukajenga nyumba,
chumbani kitanda kizuri ila ukilala unajisikia upweke na kuwaza mwanamke wakulalanae pamoja..
Fanya kazi ndugu achana na mambo ya mapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined
Aug 2, 2014
Messages
1,967
Points
2,000
Hassan Mambosasa

Hassan Mambosasa

Verified Member
Joined Aug 2, 2014
1,967 2,000
Jia kumfanya mwanamke awe karibu nawe, ukiweza hilo kumtongoza haiwezi kuwa tabu
 

Forum statistics

Threads 1,284,065
Members 493,941
Posts 30,811,507
Top