Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

Umependa uzuri wake au hizo milioni 3?

Maisha Ni kutake risk...Kama waogopa hutakaa uendelee

Pima Kama unaona huwezi ishi bila yeye tongoza tu....Kama waona hela Ni tamu zaidi Basi kula kwa macho.

Sent using Jamii Forums mobile app
daah, kwa aliewahi kupenda nahisi anaelewa kuwa nini namaanisha, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa "no risk no gain" ntayafanyia kazi maoni yenu wana JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia bora na sahihi ya kukiponya kidonda ni kuipata dawa ya tiba,

Nisawa na mapenzi, ukimpenda mtu tafadhari mwambie, hisia hua sio kwa ubaya mapenzi ni makubaliano, kama akiwa interested pia atakufikiria kwa hitajilako. Mungu akutangulie mkuu

And then a once successful business starts to head downhill
 
Njia bora na sahihi ya kukiponya kidonda ni kuipata dawa ya tiba,

Nisawa na mapenzi, ukimpenda mtu tafadhari mwambie, hisia hua sio kwa ubaya mapenzi ni makubaliano, kama akiwa interested pia atakufikiria kwa hitajilako. Mungu akutangulie mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
nitajitahidi kadri ya uwezo wangu unapoishia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom