Nampenda lakini nahofia atanichukuliaje?

kama yapi, nipe mf..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Urafiki wa kawaida, mualike tu kwenye sherehe kadha wa kadha, mualike pia kutoka out ww, yeye na marafiki zako hata na marafiki zake pia. Kabla ya apo wapaswa kua na mawasaliano nae kwa ukaribu. Kufanikisha hilo lazma uwe systematic, honest and very smart guy physically and mentally a guy with a future. Baadae sasa mualike kutoka out wawili, out ya wawili at 1st time dont speak out anything. Atavutiwa na lazma. Next time mtoe out na kumla tu kiulain. Over,
Hii itategmea na yy alvo na mazngra aliyokulia. Kama ni mlokole nenda nae kilokole, kam ustadhat QUID PRO QUO, TIT FOR TAT
 
hii inaitwa kufa na kufaana, bandika bandua aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wa JF,

kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.

Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.

Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..

Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??

Sent using Jamii Forums mobile app
Fala kweli wewe.. Wewe upo kwenye banda lako la m/pesa umejuaje kuwa anajielewa au hana muda na watu! Sema na muda wewe, akifika kwenye kibanda chako anaweka hela au kutoa na kusepa.. Ana muda sana na hao wanaompa hela.. Ngedere kweli wewe, mwelezi hisia zako, kama na hivyo vikamisheni unavyopewa huko voda au tigo havijayeyuka..

fanya kazi mdogo wangu
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom