Nampenda lakini meseji zake za mkato

Nampenda lakini meseji zake za mkato

Hata kama mapenzi Ni upofu we kaka umezidi..endelea Tu kushika mapembe wenzio wana kamua maziwa..

unaonekana Ni mpole na unajua kuheshimu mwanamke ILA huyu hutamuweza atakuumiza mwachie pasua kichwa wenzie,

tafuta unaye endana naye, sawaee
Kuna jamaa yangu anapitia hali hiyo na ameshatoa mahari, unamshaurije mtu kama huyu
 
Lakini nampenda sana.[/QUOTE]
Ila yeye hakupendi na hayuko tayar kuacha mambo yake kwa ajili yako
 
Kuna jamaa yangu anapitia hali hiyo na ameshatoa mahari, unamshaurije mtu kama huyu
mmh..maji kesha yavulia nguo..wakae chini waongee amweleze shida Ni nini amwambie kwamba hiyo tabia haipendi asipobadilika sasa....
 
mmh..maji kesha yavulia nguo..wakae chini waongee amweleze shida Ni nini amwambie kwamba hiyo tabia haipendi asipobadilika sasa....
Amemwambia lakini bado hamuelewi, ni kama ana kiburi, afanyeje
 
Hamna kimbegu..unadhani nimemcheka mtoa uzi? ila nimefurahi tu jinsi ambavyo nilimuwahi mtu ambae angekuja kuniacha yeye na ningeumia zaidi...nimeufurahia tu ujanja wangu hapo, kuachwa kubaya maana inauma sana mtu ana ku ignore hvyo as if you don't exist?? kha!! yakukute mkuu ndio utaelewa.
hongera kwa kuwahi
 
Anakuletea mapicha picha, hapo anakuona Mfilipino kinoma yani, wee ka vipi weka umisionary kando alafu umuanzishie undava
 
Kwani wasichana wameisha?umezakiwa naye?kama hakutaki,unataka makavu laivu?mpotezee.
 
Duuh.....Dawa yake huyo we we kuwa bize zaid yake yaani Fanya yako zaidi tafuta maisha yako zaidi maana Wapo wengi hao na kuna wengine wanatamani wapate hata msg iliyo wrong number tu ikaangukia kwao lakini hawapati....3/4 ni wanawake ACHANA NAE
 
Amemwambia lakini bado hamuelewi, ni kama ana kiburi, afanyeje
mh,km mapema hii anamletea kiburi na ameshindwa kumkanya akiingia kwenye ndoa atamuweza kweli..au bidada hajampenda jamaa ndo kalazimisha

km mapema hii anamchukulia poa akiingia kwenye ndoa si atakua hashikiki
 
Kikawaida KE hua tuna mshawasha kuwasiliana na wapenzi wetu.

Ukiona mwenzako hayuko interesting kwenye mawasiliano anza kujitumbua mwenyewe mana hapo hutakiwi.
Umeona eeh? hapo manyoya tu huyo...bora jamaa achape lapa tu maan hana chake tena.
 
Back
Top Bottom